Recent content by ph f

  1. P

    Hivi mtu mwenye ufaulu huu anaweza kusoma kozi ya Optometry?

    Km math ni sifa ya ziada na sio ya lazima hapo hmn shida bac.....na course nyng za afya math na English zinakua ni additional requirements. Ukiwa nazo ni vizur lkn pia usipokua nazo hakijaaribika kitu km nafas ipo unapata tu
  2. P

    Mhitimu wa Diploma ya Famasia anaweza kujiendeleza kada ya MD?

    Entry requirements za tcu zinamruhusu ndio. Lkn shida inakuja kwny competition chuoni ila km unaconnection mwaka huu unasoma vzr tu
  3. P

    Naweza kusoma MD kwa matokeo haya?

    Unapata, entry requirements za mwaka huu zinakuruhusu kbsa lkn usijisumbue kuombe vyuo vya serikal competition ni kubwa sana
  4. P

    Mhitimu wa Diploma ya Famasia anaweza kujiendeleza kada ya MD?

    According to TCU guidebook 2021/2022 minimum entry requirements ni uwe na at least GPA ya 3 na D grade kwa 5 non religious subjects at 0level.
  5. P

    Msaada: Kazi zilizotoka za Wizara ya Afya maombi yanatumwaje?

    Lipo hapo juu limewekwa.....angalia uenda zipo mana nafas ni nying tu Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  6. P

    Msaada: Kazi zilizotoka za Wizara ya Afya maombi yanatumwaje?

    Lipo hapo juu limewekwa....Uenda zipo mana nafas ni nying tu Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  7. P

    Msaada: Kazi zilizotoka za Wizara ya Afya maombi yanatumwaje?

    Sana sana wafamasia na madaktar....check mwnyw ujionee vzr mkuu Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  8. P

    Msaada: Kazi zilizotoka za Wizara ya Afya maombi yanatumwaje?

    Shukran wakuu Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  9. P

    Msaada: Kazi zilizotoka za Wizara ya Afya maombi yanatumwaje?

    Habar zenu wakuu Naomba kuuliza hizi kazi zilizotoka za wizara ya afya maombi yanatumwaje, kwa njia ya posta au njia gan? Naomba kueleweshwa Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  10. P

    Natafuta kazi au kujitolea kwa muda bila kulipwa

    Naweza ndio kuuza, kwanini unauliza kama ntaweza au lah. Papers gan unazomaanisha? Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  11. P

    Natafuta kazi au kujitolea kwa muda bila kulipwa

    Ndo community pharmacy, hata uko pia sawa Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  12. P

    Natafuta kazi au kujitolea kwa muda bila kulipwa

    Habari zenu Nina diploma ya pharmacy kutoka st John's university. Natafuta sehemu ya kufanya kazi iwe community pharmacy, polyclinics au hata hospital. Nipo tayari kujitolea pia kwa kipindi hiki ambacho nasubir professional license. Mkoa: Morogoro au Dodoma Sent from my SM-A205F using...
  13. P

    Jukwaa la wafamasia

    Ni mtihan wa usajil Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
  14. P

    Jukwaa la wafamasia

    Yan ni balaa wamejua kutukomesha safar hii Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom