Naweza kusoma MD kwa matokeo haya?

Naweza kusoma MD kwa matokeo haya?

Habari mimi nimemaliza clinical medicine nina GPA 4.3 na olevel nina chem C bios B phy D English C geo C maths F naweza kusoma M.D.
Unapata, entry requirements za mwaka huu zinakuruhusu kbsa lkn usijisumbue kuombe vyuo vya serikal competition ni kubwa sana
 
Back
Top Bottom