Recent content by Pettymagambo

  1. Pettymagambo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nyimbo za Tot ya Komba

    Hii mbona haifunguki ndugu?
  2. Pettymagambo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nyimbo za Tot ya Komba

    Hapana sijazipata ndugu.
  3. Pettymagambo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nyimbo za Tot ya Komba

    Hizo hizo zishushe mkuu
  4. Pettymagambo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nyimbo za Tot ya Komba

    Poa mkuu ngnja nijaribu
  5. Pettymagambo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nyimbo za Tot ya Komba

    Huu wa mgeni ni rahisi kuupata
  6. Pettymagambo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nyimbo za Tot ya Komba

    Ndugu wana jamvi wakati ule wa miaka ya 1996 mpaka 2000, enzi zile tunasikiliza nyimbo zikiwa kwenye kanda, pale nyumbani mzee alikuwa na kanda moja ya tot ya mh Komba na wenzie, japo nilikuwa mdogo sana ila nilikuwa nakichwa cha kukariri baadhi ya nyimbo kama vile, muongo mbea anaua, na...
  7. Pettymagambo

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mzee mie kuna nyimbo nazitaftaga sana sijawahi kuzipata, nadhani zipo kwenye album ya mwaka 1995 kwenye uchaguzi, tot band ya kina mh komba na wenzie, nyimbo kama mwongo, twende tukazime, tukazane kuomba
  8. Pettymagambo

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Unaitwa walimwengu wabaya
  9. Pettymagambo

    JamiiForums Tanzania Kama ungepewa Tsh 500 Million leo, ungewekeza kwenye nini?

    Nikweli alikufa gari mataqoni linapanda chini ya mbinguni
  10. Pettymagambo

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Muongo muongo ee! mbea mbeaa sawasawa na tapeli, ee muongo, muongo hakaribishwi mbinguni, muongo, mbea anaua, muongo rafiki yake shetani
  11. Pettymagambo

    JamiiForums Tanzania True story: Babu yangu kama mshikaji wangu (2)

    We fala umetumwa usome mpaka mwisho
  12. Pettymagambo

    JamiiForums Tanzania Jamani kuna Wakenya hapa tujadili football kidogo

    Kumbe kenya kuna watu?
Back
Top Bottom