Recent content by petrol

  1. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 If not lip services, Lissu anaachiwa, Chadema inashiriki uchaguzi, TAL Mgombea Urais, tunafanya uchaguzi mkuu huru na wa haki kweli

    Bunge limemaliza kipindi chake kikatiba. Hizo minimum reforms zitafanyikaje wakati Bunge halipo?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Anna Tibaijuka: Ndugai aliniambia kwamba suala la Lissu ni “Maelekezo”

    tunaomba aya ya hii kauli yako
  3. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 Utaratibu uliotumiwa na CCM Kumpitisha Samia Kugombea Urais 2025 Umetengeneza Dangerous Precedent Kwa Chama!

    Mzee Kikwete alipata kura nyingi lakini zikiwa chini ya asilimia 50 ya wajumbe waliopiga kura kwenye mkutano Mkuu wa mwaka 1995. Mzee Mkapa akawa wa pili na mzee Msuya wa tatu. Mwalimu Nyerere alitoa hoja kwamba ili mgombea awe na nguvu ni muhimu angalao 50+1 ya wajumbe wamkubali. Hoja yake...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Duh... Netanyahu kayakanyaga aisee!

    Huoni Netanyahu amelazimika kuomba msaada kutoka kwa baba hadi kuchukuliwa hatua zinazokiuka misingi ya ushirikiano ya kimataifa. Uamuzi wa Marekani kuishushia Iran mabomu -clusters-bila kuwa na ugomvi wa moja kwa moja na Iran ndicho ushahidi Israel peke yake haiwezi tena kufurukuta dhidi ya Iran.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa yasimama Rais Samia; Awasili Jijini Mwanza na kupokelewa na Maelfu ya Wananchi Wenye Nyuso za Tabasamu na furaha akielekea Mkoani Simiyu

    Sawa, tukubali wamesombwa na malori. Ni vizuri zaidi ukirusha angalao picha moja ya yalipo-park hayo malori na hata daladala. Vinginevyo hoja ya kusombwa haina mashiko.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Marekani na Ulaya hazitautambua Uchaguzi Mkuu 2025 ikiwa CHADEMA haitashiriki!!

    Hizo ni doto tu za Alinacha.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo hata Lissu akigombea akiwa gerezani anaweza kushinda Urais

    Kama huo ndio ukweli na sio porojo, kwa nini CCM wakubali hoja ya mageuzi? Mbona kama hakuna mantiki.
  8. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tazama makao makuu ya CCM yatakavyokuwa baada ya jengo kukamilika

    Kiwanda gani hicho cha bilioni moja
  9. P

    JamiiForums Tanzania Concerns About Electoral Integrity: Is WHO Africa Addressing Fraud in Janabi's Candidacy?

    Hizi ni porojo, character assassination tu. Nafasi zote za kiwango hicho lazima mgombea apate baraka za serikali yake na isimamie kampeni yake hadi kieleweke. Inaelekea mwandishi wa tuhuma hizi hana uzoefu wa anachokizungumzia. Tunaweza kuwa na maoni tofauti kuhusu candidature ya Prof Janabi...
  10. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

    Unaweza kuwa sahihi. Hata hivyo inaelekea kauli ya TEC inashabihiana na ujumbe wa Pasaka kutoka kwa Baba Mtakatifu Francis, nukuu "There can be no peace without freedom of religion, freedom of thought, freedom of expression and respect for the views of others". mwisho wa nukuu. Je, TEC...
  11. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanasheria wa CHADEMA: Polisi wanasema Lissu anatuhumiwa kwa Uhaini, atafikishwa Mahakamani ndani ya Saa 48

    Unaweza kuwa sahihi. Hata hivyo atakapofikishwa Mahakamani anaachiwa. Akitoka nje anakamatwa tena na kurejeshwa Mahakamani kwa mashitaka mapya. Huu utaratibu sio mgeni natumaini.
  12. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanasheria wa CHADEMA: Polisi wanasema Lissu anatuhumiwa kwa Uhaini, atafikishwa Mahakamani ndani ya Saa 48

    Mashitaka yataweza kubadilishwa wakati wowote, au vipi
  13. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Nimepata taarifa za kuaminika kuhusu mpango wa kumkamata Tundu Lissu kwa Kumbambikia Kesi ya Uhaini"

    Swali ni Je Dunia itakubali au huu waweza kuwa mwisho wa Tanzania? Dunia inahangaika na tariffs za Trump hivi sasa. Hakuna tena anayehangaika na yaliyoko nje ya mipaka ya taifa lake.
  14. P

    JamiiForums Tanzania G55 tupo wengi ni jina tu wasifikirie tupo 55 ni wagombea wote: Mrema

    Sahihi kabisa. Lakini leo jamaa mmoja amenipa kijarida kinaitwa Tumaini Letu ambapo kwenye ukurasa wa 4 Askofu mmoja amenukuliwa kwa kusema "Na mafundisho ya Kanisa Katoliki yanasema huwezi kutangaza Habari Njema sehemu ambayo haki imenyang'anywa. Kwa hiyo tuseme, na kuhakikisha kwamba haki...
Back
Top Bottom