Recent content by PETRO NCHALANGI

  1. P

    JamiiForums Tanzania Msigwa hana busara ya kutatua matatizo ya wamachinga Iringa. Vurugu hazijengi bali zinabomoa!

    mimi naona haina haja ya kurumbana tuache ushabiki wa kivyama; cha msingi tuwasihi viongozi wetu waache kuoneshana ubabe maana kamuhanda alipoitwa kwenye mazungumzo ya nini kuja na rundo la polisi;;;; na msigwa kama serikali amewaita kwenye mazungumzo hawarespond atafute njia mbadala na si...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Taasisi mbalimbali kupinga kufutwa kwa matokeo kidato cha nne -2012

    Jamani tuache ushabiki na siasa kwenye suala la kitaaluma; kurudia matokeo hayo kunamaanisha hatuna serikali na baraza la mitihani halipo. Hii ni kwa sababu baraza lilijiridhisha na shughuli nzima ya usahihishaji na wizara husika ikakagua ikabariki matokeo yakatangazwa; JE iweje matokeo yarudiwe...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Taarifa ya tume ya kuchunguza matokeo mabaya ya kidato cha nne yasomwa

    Tafadhari msitake kutuharibia nchi hamwezi kutumia hata akili yenu ndogo kuamua hili hivi mtoto unapoamua kumfanyia standardization wakati alifeli na sabau unazo unatafuta nini kuua taifa au. Wananchi hatujapendezwa na hili na hapa usemi usemao'''''''''Akili ndogo kutawala akili kubwa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kuvamiwa kwa Lema: Maongezi yangu na RPC & Barua kwa Mkuu wa Mkoa Arusha

    Mimi jamani sijaelewa kabisa hivi mbunge ndo kaongoza mauaji au ameua? Maana kitendo cha kukamatwa na kuwekwa ndani wakati ndo mwenye dhamana ya kulinda na kutetea haki kwa raia wote jimboni hapo why akamatwe?
  5. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yaanikwa Bungeni Jioni Hii!

    kelele za chura haziwezi kumzuia ng'ombe kunywa maji yatanyweka tu hata kelele ziwe milioni na zaidi; kikosi kinasonga mbele zaidi
Back
Top Bottom