Recent content by petmiha

  1. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waache kutumia watoto kwenye mikutano ya kisiasa

    chadema wamechoka hakuna jipya sasahivi wanaparurana wenyewe kwa wenyewe tu
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kama unaamini mambo ya kiroho utakubali kuwa Urais wa JMT unamtafuta Tundu Lissu

    Uharo mtupu huo unaitwa uchawa
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Chadema/BAWACHA wanaingilia Uhuru wa mahakama suala la akina Mdee? Hawa ndio wanaimba utawala wa sheria?

    wahuni tu hao kama walivyo wahuni wengine
  4. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nasikia sikia kama tunataka kupewa Nusu Mkate tupewe Wabunge tu. Huu utakuwa Ujinga mkubwa!

    haa kaanza lini kutumwa na chama wakati kila analofanya ni gainst mbowe msitetee uozo ndani y chama kuna mgogoro
  5. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwasasa hana mvuto tena ndani na nje ya chama

    wazungu ni watu wabaya sana walivyomuwowa tu akili zikahamia nyuma hana tena jipya
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki

    Wajinga ni wewe na wenzako mnaoshbikia ujinga sasa hapo kaimba nini kama siyo ujinga mtupu
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki

    Anayeweza kumwelewa lema anataka nini lazima atakuwa na matatizo kichwani lema ni punguwani namba moja
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki

    Yaani humu kweli wapumbavu wapo wengi sana kufurahia upumbavu sasa hapo mnatukanwa nanyinyi mnafurahi eti wimbo mzuri kawageuza hmna akili nanyi mmekubali
  9. P

    JamiiForums Tanzania Wakristo kimavazi tunazidi kupotea, Mavazi yaliyoshauriwa kwenye maandiko yamepuuzwa, Pongezi kwa Waislam kuendela kuvaa mavazi yanayositiri

    Mkuu tofautisha mkristo na mkristo mshika dini hata upande wa pili wapo wenye sifa ulizotaja lakini nao ni wa huko, ukimkuta mkristo mshika dini huwezi kumkuta amevaa nguo isiyo na stara hata siku moja ukimkuta mtu wa upande wa pili hajashika dini utashangaa alivyovaa hivyo usimjaji mtu kutokana...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Lissu ungependa watanzania wakukumbuke kwa lipi?

    lissu anajuwa vitu vingi lakini havijawahi kuisaidia tanzania hata siku mojailayeye bado huwa anataka asaidiwe na tanzania tuu nia yake yeye akakae ikulu sasa kama anashindwa kuonyesha akili yake sasa nani atamuamini kuwa akiwa ikulu atafanya ya maana?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ameona Njia pana ya Kumtukana Magufuli itampoteza ameamua kupita Njia Nyembamba ya Kusema Ukweli kuhusu Maisha!

    WE ni chizi kama machizi wengine mbona mbowe alivyo mpoteza wangwe na saanane hamsemagi kisa uenyekiti na tamaa zake za madaraka mauaji mnayo hukohuko chadema
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimeongea na Rais Samia, vyama vya siasa visiwe chanzo kutugawa

    ASALI TAMUUUUUU
  13. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamehalalisha haramu 'Covid-19' na Ruzuku

    hivi jana umesema sichukui ruzuku haramu kabisa leo unasema tumeanza kuchukua ruzuku inmaana uchaguzi uikuwa sawa hauna dosari
  14. P

    JamiiForums Tanzania CCM imetekwa na CHADEMA kwa msaada wa wana CCM wenyewe!

    yaani upumbavu wanaofanya viongozi hasa wale waliojifanya wakimbizi ndiyo wanakibomoa kabisa chama wanakuja na matamko yanayoudhi raia mara lema anakashifu watu wa dini hana sera haya lissu kajakaona upinzani hakuna kitu ni upuuzi mtupu kaamua kurudi alikokuwa amekimbilia sijui sasa ataenda...
Back
Top Bottom