Recent content by Petit_Dulong

  1. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Asante mkuu. nliposema ccm vilaza hamkunielewa. HAWAWEZI KUSOMA VIFUNGU NA KUELEWA, wanaendeshwa na mapenzi ya chama na ushabiki. ICC Lazima ihusike.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kitoto iliyotegemewa na UKAWA!

    Na huu ndio ukweli.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kitoto iliyotegemewa na UKAWA!

    ...na ndivyo ilivyo...KAMA UNA BISHA. ..Ninakupa case-study ni ZEC ya Zanzibar. ..ZEC na NEC wanafahamiana, tabia zao ni zilezile. Kifupi ni kwamba, INABIDI, either.. 1. Ujitoe Ufaham, 2. Uwe na maslahi binafsi OR 3. Uwe insane 4. Uwe ni mfanyakazi nyuma ya ccm .....ndipo unaweza kuitetea...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kitoto iliyotegemewa na UKAWA!

    Tangu lini umebadilika? UDHALIMU na HAKI are complements of each other. Kama udhalimu ukifikia 100%, bas ujue haki imefinywa na kubanwa hadi 0%. Ili haki itamalaki, ni lazima udhalim upigwe vita na WATU WALIO NA AKILI TIMAM...hadi udhalim uwe 0%, na hapo ndipo watu maskini watashangilia...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kitoto iliyotegemewa na UKAWA!

    Hawana njaa, wala sio ombaomba waliokosa milo mitatu na zaidi kwa siku. Wana mahitaji yote ya msingi...vingine hivi, k.v siasa, ni UCHUNGU pekee na maisha magum walio nayo watanzania wengi waishio chini ya MSITARI WA UMASKINI.,...Ambao wengi wao hawazijui haki zao, na hata unyonyaji na dhuluma...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kitoto iliyotegemewa na UKAWA!

    Nani mwenye pesa mingi kati yako WEWE na huyo lowassa. Kati yako wewe na Lowassa ni nani mwenye kipato cha UFUGAJI_NG'OMBE?.... Wizi wenu ndio umetufikisha hapa tulipo, na hata hili linaloendelea sasa kisiasa. WIZI.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Usishangae kuona wakati wwte kuamzia deadline alio itoa Maalim Seif Wznz kuingia Bara Barani,

    Hakuna Mtanzania Yoyote Mwenye Ubavu Wa Kuanzisha Vita. Anzisheni Halafu Tuwatenganishe VIWILIWILI Vyenu Hivyo. Na Sasa Hivi Hatutatania Kwani Tumeshampata Amiri Jeshi Mkuu ANAYETUKUKA. Jipendekezeni MLIANZISHE Ili Tufanye MAZOEZI Ya Kulenga SHABAHA Katika MIBICHWA Yenu Hiyo. TUMIA AKILI...
Back
Top Bottom