Facebook ni mtandao wa jamìi mkubwa dunia nzima na ndo una uwezo mkubwa wa kukusanya data ikiifuatia Google...data zinazokusanywa sio za marekani na europe bali hata africa..think about this scenario ya ukweli ya majuzi..nilipewa number ya mtu X simfahamu hanifahamu..number yangu ya tigo yake ya...
wengi huwa na hilo wazo kwamba wapo in control wakiendesha wamelewa ila ukweli ni kwamba hata uwe na uzoefu wa miaka mingapi kila mtu huwa na mapungufu kwa degree fulani ukiwa umelewa
Kati ya vichochezi vinavyo ongoza kusababisha ajali za barabarani usiku ni dereva kuwa amelewa. Wengi wamekuwa vilema na familia kupoteza wapendwa wao kutokana na kosa hili. Main highways zinazotoka bar zinafahamika ila usiku polisi hawaweki road stops kukagua madereva wahalifu. Sheria zetu za...
Morning!
Eti kuna centre ama hospital yoyote private hapa Dar inayoshughulika na tiba ya watu wenye matatizo ya akili especially wale walioathirika na uvutaji wa bhangi?Zaidi ya Muhimbili na labda Mirembe.
Pia naomba kufahamu kama kuna private clinic ya Daktari bingwa yeyote wa magonjwa ya...
pole sana..hiyo ni congestive heart failure.Moyo wako umechoka na unaelemewa kazi ya kusukuma damu.Cha msingi ni kuzingatia dawa za moyo ulizokuwa unatumia awali ili kupunguza athari ukiwa unasubiri appointment yako.Na usifanye shughuli nzito za kufanya moyo upge sana.
1. Misuguano wa ngozi za mapaja ukiwa una embea ama umevaa nguo iliyokubana. 2. Inaweza ikawa una fungus kwenye ngozi ya hapo sehemu husika.Kama ni hvyo basi kupaka dawa ya fungus itasaidia kupona
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.