Tabia hii inistaajabishwa kwa wanawake, wanataka kudanganywa na kuingizwa mjini.
Mwanaume akikupenda wala hana nia ya kukutongoza wala kutaka mchezo mchafu
mbio kumfukiria mambo mabaya. Hivi mnaona kama wanaume wote ni wakuchezea mwanamke. Punguzeni maringo sio wote tuna tabia chafu.
Dada Ashadii nimekua nikikufuatilia kwa ukariibu japo umekua mbaya kwangu sitokaa nikate tamaa. Niliona mchakato na kura nimekutilia. Kumaliza mzizi wa fitina pokea zawadi toka kwangu na safari hii kuna sababu ya dhati kabisa kwa mimi kukutumia na wewe kupokea. Nipe contacts zako zote mimi...
Hakika nakuambia na kukuhakikishia wewe ni mwanamke wa pekee kua na uwezo kua na fikra kali za namna hii. Kutujali na kutufikiria watu ambao hutufahamu namna hii dada Ashadii unastahili pongezi, nakupenda bure! tena bure kabisa. pole na msiba huu. R.I.P. mh. mbunge Regia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.