Recent content by Peter ngeruke

  1. P

    JamiiForums Tanzania Wanakigoma tunakusubiri mbunge wetu ZZK utuambie chakuifanya CHADEMA na unafiki wake

    ongea kwa facts broo, ulizoandika wewe ndo porojo hazina facts
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hakuna anayeweza kuizima nyota ya Zitto, ila Mungu pekee

    tena ww ndo kilaza kabisa Unakuwa mnazi wa mtu mmoja zitto kabwe???? Angalia maslai ya chama na taifa kwa ujumla. Zitto kitu ganiii? Binadamu kama wengine tu. Yeye mwenyewe hajakanusha tuhuma dhidi yake wewe ni nani useme ni za kughushi?@ngongoseke
  3. P

    JamiiForums Tanzania Wanakigoma tunakusubiri mbunge wetu ZZK utuambie chakuifanya CHADEMA na unafiki wake

    acha unazi wa uccm ww, tunaangalia maslai ya cha na nchi kwa upana wake siyo ya mtu mmoja, by the way who is zitto kabwe? Atapita tu kama wengine ila chama kitabaki.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimemfumania na mwanamke ndani kwake

    Du pole sana.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mbowe lazima akubali yeye sio CHADEMA na lazima achunguzwe

    Mtoa hoja nafikiri katumwa na CCM, Hawa ndio hatuwataki ndani ya CDMA. Huu sio mda wa kubembelezana tunataka mabadiliko. Kamanda Mbowe yuko sahihi na tunamuamini
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kujiunga na jeshi la police tanzania

    kaka hizo taarifa ni za uhakika? Pamoja sn
Back
Top Bottom