Recent content by peter nassor

  1. P

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Watanzania wengi tu wavivu wa kufikiri wepesi wa kumwaga sifa kirahisi , magufuli kwa sasa amefanya 3% tuu ya mambo yaani kukaba walipa kodi na afya muhimbili kiasi na kuzuia safari za nnje , kero za watanzania ni nyingi mno hususani , elimu , usafiri , rushwa katiba na vinginevyo hivyo...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kanikataa, je nimchomee kuwa ana vyeti feki?

    Mwambie tuu kuwa unampango wa kumchomea ili aanze kufeel machungu mapemaaa
  3. P

    JamiiForums Tanzania Dalili za jogoo anayewika lakini ni hasara ktk kaya

    Jogooo wa zamani kikwete na mpya ni magufuli
  4. P

    JamiiForums Tanzania Madudu yatakayoibuliwa Bunge la 11 ndio kipimo cha Magufuli! Keep watching!

    Tusubili Bunge lianze January ndio tujue utendaji halisi wa Magufuli , kikwete siku 90 za kwanza ilikuwa mchaka mchaka wapi aliishia? Mpaka sasa Magufuli amejitahidi
  5. P

    JamiiForums Tanzania Dogs Puppies for sale

    Tuma picha za parents wao
  6. P

    JamiiForums Tanzania Tunaomba ushauri: Miaka 37 ana Mchumba wa miaka 19

    Mmmh inamaana kama dada atachukua kozi ya miaka mitatu tuhesabie miaka mitano mbele na kaka ako atakuwa na miaka 44 ndio ndoa, endeleeni kumshauli
  7. P

    JamiiForums Tanzania Tibaigana: Nchi inahitaji Rais dikteta

    Hii nnchi inaitaji mubabe ili tutie akili
Back
Top Bottom