Katika hali ya kawaida huwezi kumpatia kazi ya kuzoa takataka mtu mwenye utimamu wa akili obvious tunawapatia watu wenye uwezo mdogo wa akili, lusinde, chombo na yule mama ni matambala ya deki yamefanya kazi zao
Wajumbe wa PAC kwa ujumla wenu mnapigania maslahi ya watanzania, amini tuko nyuma yenu kwa sala na maombi. tunajua mnapigana vita kubwa, mtachafuliwa na kufedheheshwa,lakini jipeni moyo mtashinda
ni ngumu sana kusema usichokiamini, mbunge huyu alistahili kuweweseka kwa kuwa alikaririshwa maneno. Poleni watanzania kwa kuwakilishwa na wabunge wa aina ya chombo
Nchi inahitaji watu wanaothubutu, mahakama imekuwa ni chombo kinachotoa maamuzi yanayostaajabisha, rejea maamuzi ya kusitisha mgomo wa walimu yaliyotolewa siku ya mapumziko. Mwenyezi mungu tenda muujiza
uruguay na tenende, mnaamini kweli nyinyi ni chadema, chadema wenyewe hawana muda wa kupiga kelele humu, wametanguliza migambo yao ambao mnajiona ni sehemu ya chadema. endeleeni na unyenyekevu mlio nao ina wezekana mtakumbukwa. ila ushauri wa bure muwe tayari kupokea mawazo kinzani, chadema sio...
Pole kwa kutoelewa kijana, nikusaidie " Understandability means the financial information must be understandable to persons with reasonable knowledge on the business and who are willing to understand". Najua wewe upo katika kundi la wasio na reasonable knowledge ulichofanikiwa ni kusikia majina...
Karibu ofisini utapata kila kitu, hii ndio maana ya uwazi. Note namba 6 ya kiasi hicho sio ya chama chetu labda itafute kwenye taarifa nyingine inawezekana umepitia taarifa za taasisi nyingi leo hivyo umechanganya, lakini karibu sana tutakupatia ushirikiano wa kiwango cha juu ikiwa ni moja ya...
Rejea weledi na kujitegemea, " ACT Tanzania tunasisitiza kwa viongozi na wanachama kujituma ili kuwa na kipato halali tukiamini uzalendo wa kweli unaanzia katika familia, zaidi ya hayo ili kuondoa majungu na fitina kama unazozifanya hapo makao makuu ya chama chenu kwa kuwa bila majungu familia...
Ndugu inawezekana uwezo wako wa akili ni mdigo sana, nunakukaribisha makao makuu ya chama cha ACT Tanzania utapatiwa majina yote ya wanachama, wapenzi na wanachama waliotuchangia. Tumechangiwa na watanzania bila kujali vyama, hata wewe unakaribishwa kuchangia ukombozi wa nchi hii, hao...
Mzito Kabwela
Kwa hiyo sasa una doubt CPA yangu au? Bahati mbaya mtunza hazina wenu amesomea political science na mhasibu mkuu ni cashier. Ni kwa sababu hii huwezi kuelewa maana ya CPA!! Na unadiriki ku-doubt udaktari wa mtu aliyewaandikia ilani ya mwaka 2010 iliyowafanya mseme mlishinda...
Chama cha ACT-Tanzania hakina Mfadhili Mkuu
1. Katika toleo lake la siku ya Jumatano ya tarehe 30 Julai 2014 Gazeti la Tanzania Daima limechapisha habari zilizodai kuwa mwanasiasa moja maarufu hapa nchini ndiye mfadhili mkuu wa Chama cha ACT-Tanzania.
2. Kwa niaba ya uongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.