Recent content by Peter Masebo

  1. Peter Masebo

    JamiiForums Tanzania Mke wangu nimfanye kitu gani? Anatembea na mfanyakazi mwenzie

    Umepewa limbwata wewe ndiyo maana huna hata aibu eti unatwmbia umemuongezea mapenzi mazr kwn hujui kuwa hupendw?,endelea kuishi naye unatupotezea muda kutuomba ushauli.
  2. Peter Masebo

    JamiiForums Tanzania Usalama wa RAIA ndani ya nchi yetu ya TZ.

    Màtukio yanayoendelea ndani ya nchi ni hatari mno kwetu RAIA wa Tanzania,watu tusiwaze lolote kama wahusika wapo nà mpaka leo hawajatoa kauli yoyote ya maana. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Peter Masebo

    JamiiForums Tanzania Kongamano la demokrasia laahirishwa baada ya serikali ya Mkoa Dar kuzuia ukumbi

    Ujue hii nchi imefika mahala watu tuiheshim na kuwaheshim waasisi wetu kwa kulinda haki za binadam na kufanya democracy inayofaa na itakayo fanya watanzania tuishi kwa Uhuru bila kuwa na Uhuru wa uoga na nidham ya uoga,Watanzania wekeni uchama pembn bali iweni kitu kimoja.
  4. Peter Masebo

    JamiiForums Tanzania Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Hiyo ni bahati japo imekufikia muda ambao hukupanga chakufanya jitahidi utafute maziwa kila sk ili asitumie yako na ujitahidi kumpa chakula(balance diet). Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  5. Peter Masebo

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mahakama kutupa rufaa ya kupinga ubunge, je una ushauri gani kwa Stephen Wassira?

    Wasira huu ni muda wake wa kupumnzika tu masuala ya siasa awachie wengingine wenye nguvu wanao weza wakaendana na Sera ya sasa vinginevyo atakufa mapema.
  6. Peter Masebo

    JamiiForums Tanzania Ester Bulaya amshinda Stephen Wassira kwenye Rufaa kesi ya Ubunge

    Mimi hata sielewi hizi siasa za Tz mbna kule z,bar watu hawakwenda mahakaman?.
  7. Peter Masebo

    JamiiForums Tanzania Ester Bulaya amshinda Stephen Wassira kwenye Rufaa kesi ya Ubunge

    Mzee wasila wakati mwingine ni kujifedhehesha tu na kupoteza muda wa kupumnzk. Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  8. Peter Masebo

    JamiiForums Tanzania Wasamaria tulifanya makosa kuchangia wahanga wa tetemeko Kagera?

    Serikali gani hii inapiga meno vitu vya msaada?,kama nikweli basi TZ hatuna uongozi(Serikaki). Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  9. Peter Masebo

    JamiiForums Tanzania Farid Musa Malik

    Big up kwa Ulimwengu,watanzania tupo nyuma yenu ktk hilo,Mungu awatàngulie.
  10. Peter Masebo

    JamiiForums Tanzania Farid Musa Malik

    Huyo Faridi Mussa akizembea tu ajuwe hii ni Tanzania,awe makini kwni umri nào ndo huoooo!.
Back
Top Bottom