Inaumiza Sana
Vijana hao walidahiliwa pale Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa ajili ya programu hiyo lakini serikali haikuwa imejipanga kuwapa fedha za mahitaji muhimu kama ilivyohitajika. Taarifa kutoka UDOM zinaonesha kuwa, vijana hao wametangatanga na kuomba pesa za kula na kujikimu kutoka...
philimon kama kaka yangu rudi chadema uje uchukue jimbo la buchosa au ngara pale pale nenda chadema ila kama unataka uwaziri sawa kumbuka unaweza kushindwa,nakwapia kwa jina la yesu ukienda ukawa unaenda dodoma kama mbunge na si mhaziri tena,ukipitia ccm hakika utarudi kama mwalimu.
Kaka umeanza maisha mapya ambayo uliyaexpect kwa mda mrefu yakabili na mwombe mungu akusaidie tutimize ilani yetu ya ccm.maswa nako nitakomboa kwa mkono wangu na mwongozo wa ccm na mwomba tu mngu anifkishe next yr.ndg zangv wtz nipen ushauri niombe maswa magaribi au mashariki?
Wapenzi na watambuzi wa wagombea wenye hari ya kuwaletea maendeleo watz wameonekana tena kwa mara nyngne ktk jimbo la chalinze ambapo kijana mwenzetu ridhiwani katimiza moja ya ndoto yake ktk maisha,ninasema hongera ridhiwan na hongera martin shigela mana uliliona hili ukasema ccm inamzizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.