Recent content by peter elad

  1. peter elad

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni siasa za Matukio Tafuteni Agenda

    Umeshafkr ulichokisema mwanzoni kbs
  2. peter elad

    JamiiForums Tanzania Siku hizi unyonge imekuwa sifa ya Mtanzania?

    Wanaosema ni vinyonga ambao hubadili rangi sehemu tofauti,so kuwa makini kwa sababu wengi 1.wakurupukaji 2.waropokaji pia,Ila hatuambiwa wanaowafanya watu kuitwa wanyongwe ni kina nani?
  3. peter elad

    JamiiForums Tanzania Siku hizi unyonge imekuwa sifa ya Mtanzania?

    Asante,itabidi 2020 tuwe macho
  4. peter elad

    JamiiForums Tanzania Marufuku ya mifuko ya plastiki

    Asante kwa kutambua hilo,wameshindwa kusema ni mbinu gani mbadala tukiacha kutumia plastic???
  5. peter elad

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni siasa za Matukio Tafuteni Agenda

    Usipanic xx,alaf rudi kwenye statement ufanya judgment mwenyewe,nadhan utaelewa
  6. peter elad

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni siasa za Matukio Tafuteni Agenda

    Ndugu Fanya kujua kwa nini watu wanasema hivyo alaf acha ushabiki wa siasa,tete taifa, sio CHAMA
  7. peter elad

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni siasa za Matukio Tafuteni Agenda

    Kijana hulitekwa nn pole pia karibu,kuwa mpole unapoambiwa jambo,pia penda kufuatilia mambo hutajua 2
  8. peter elad

    JamiiForums Tanzania Kwinyara kwinyara Tumia lugha nzuri kukosoa

    Kweli watanzania tunapotea kwa kukosa umoja na Uhuru.Hivi unajua nini kuhusu Haki ya mtanzania.Pia uwazi,haki,Uhuru na umoja unaanza kwa MTU MOJAMOJA.Kijana Fanya kufikiria njee ya boksi,hata wewe kunasehemu utakuja kukumbwa tuu,kumbuka Wanafiki na wachawi hawatofaidi chochote zaid ya jehanum.
  9. peter elad

    JamiiForums Tanzania Makonda Mara ya Pili Unatajwa Kumfanyia Hila Gwajima, Why?

    Nashukuru kwa kuwa MTU makini sana mwenyewe kufanya upelelezi.kuna watu wanamadaraka sehemu Fulani Ila ni kama wapo sehemu isiyo sahihi kwao,kwani ni 1.WAKURUPUKAJI 2.WAROPOKAJI 3.WASIOJUA KUTOFAUTISHA HATA KIDOGO eg:-serikali na Taifa
  10. peter elad

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni siasa za Matukio Tafuteni Agenda

    Samahani sana ndugu unachokisema mwenyewe yaonyesha pia wewe umshabiki wa siasa upande Fulani,langu no kwamba ata hilo unalosema ni SIASA.najua hutonielewe Ila vumilia
Back
Top Bottom