Recent content by Peter Agapiti

  1. Peter Agapiti

    JamiiForums Tanzania Sitakula siku 3 kusupport matembezi ya vijana wa magunia

    Kila lililo na mwanzo lina mwisho wake.Tujikumbushe kidogo waliishia vipi akina Adolf Hitler,Nguema,Idd Amini,Gadaffi na wengine wengi?Acha wautengeneze mwisho wao kama si kesho au kesho kutwa wajue Iko Siku.Wanajua fika kuwa UDHALIMU HUISHIA SHIMONI.
  2. Peter Agapiti

    JamiiForums Tanzania Magesa Mulongo umewatukana Wakerewe, waombe radhi

    Historia hujirudia.Amemuiga Kiongozi mmoja kutoka Kata hiyo ya kwao pale Iramba aliwahi kuwatamkia watu wa Iramba kuwa:-"KUTAWALA WATU WA IRAMBA,HERI UFUGE MBWA WANAWEZA KUKUELEWA".Aliisahau kauli yake hiyo na baada ya miaka alirudi Mwibara kugombea Ubunge.Wakumkumbusha Ksuli yake na ilimfanya...
  3. Peter Agapiti

    JamiiForums Tanzania Wanawake waliosoma wengi wana watoto ila hawaolewi

    Wanafikiria mbali sana hawa."Nimesoma,Nina kazi nzuri,Nataka mume Handsome na Mwenye pesa,hata nikiwa naye,marafiki zangu watani ni admire kwelikweli(Allinacha Style)".Matokeo anasubiri mpaka basi.. Kama ni Mwalimu utamsikia akisema."Kuolewa na Mwalimu mwenzio uhamisho wenu utakuwa ni wa Kijiji...
  4. Peter Agapiti

    JamiiForums Tanzania Hii ikikutokea utamsalimia au unampotezea?

    Mmh!!!Maji Ukiyavulia nguo Sharti uyaoge.Ila from the bottom of my Heart,Fanya yote uwezayo kwa hili Utakonda palepale na kuhisi Kwenda Haja vilee!!!! Mhh Tuchart tu hapa Usiombe Likutokeee wewe
  5. Peter Agapiti

    JamiiForums Tanzania Mbowe,Lissu , wammnyooshea mikono juu Zitto Kabwe

    Mmh sioni kosa hapo.Kumbuka mkono wako ukishika Kinyesi huwezi kuukata ati.Kujikwaa siku zote si kuanguka utayumba tu.ZZK kurudi kundini si kosa.Karibu tena Dogo.Unganisheni Nguvu bila kujali ili mradi Mafisadi wa nchi hii Wakome.Hili Sakata ni kubwa bado zaidi ya lile la EPA.Aidha Ukawa wote...
Back
Top Bottom