Recent content by Pest

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nipeni Mbinu za kushinda vita za makazini, naona vita imekua kubwa

    Fanya yafuatayo, Cha kwanza,husitengeneze urafiki mkubwa na mtu wa ofisini kwako ,madhara yake siku mkija kutofautiana mtatoleana siri. Cha pili,weka mazoeana na wafanyakazi wenzako hasa kwenye masuala ya kazi zaidi,Kuwa bize na kazi zako,acha stories za kuzungumzia watu,boss au mambo negative...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Recategorization against current salary

    Sheria ya utumishi wa umma kwenye masuala ya recatergolization lazima uanze na mshahara wa cheo kipya,hiyo jiandae kisaikolojia bro,sasa kama cheo kipya kina mshahara mkubwa itakuwa vzr,hapo ni kama mtu utakuwa umeajiriwa mwanzo tu
  3. P

    JamiiForums Tanzania Recategorization against current salary

    Unaanza na mshahara wa cheo kipya,kama wa zamani ulikuwa mkubwa unashushwa
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Uza kiwanja kimoja ongezea hela nunua nyumba iliyotayari kujenga utapata stress material yamepanda sana,unaweza save kama mil kumi na tano then fanya biashara
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ana mamlaka gani kufunga baa?

    Huyo ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kama baa inahatarisha usalama kwa watu anamamlaka ya kufunga
  6. P

    JamiiForums Tanzania Tangu TAMISEMI waseme wamepata kibali Cha kuajiri kada ya Afya na Walimu tangu mwezi wa pili mwaka huu sijui shida huwa nini?

    Mzee kuwa mpole mambo ya Serikali yanahitaji uvumilivu pamoja na utulivu ,kuwa mpole kiongozi
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ni ipi sehemu nzuri ya kuanzia maisha kati ya Kibaha mjini na Mwanza kwa mtaji wa milioni 10

    Nimeishi Kibaha na sasa nipo Mwanza, Mwanza ni mji mzuri sana kibihashara, Kibaha kaka hakuna ishu mzunguko mdogo wa kifedha. Mwanza ni sehemu nzuri kimaisha kila kitu utakipata kwa unafuu, kwa huku maeneo mazuri ya kuishi Ilemela ila kibiashara Nyamagana kupo poa sana. Over
  8. P

    JamiiForums Tanzania Doto Magari atembelea mradi wake wa kufuga nguruwe wa million sabini Dodoma. Na kila nguruwe chakula kwa siku laki 3.

    Kuna watu wanafikiri kuwa na misifa kwenye mtandao ndio umaharufu huyo si ndio wanamsemaga anaishi kwao ,kulisha nguruwe laki 3 na kujenga nyumba kipi bora .haiingii akilini sio kweli hiyo story
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kutumia muda gani mrefu kufukuzia Mwanamke?

    Kaka badala kuwaza kutafuta ela unawaza kufukuzia wanawake inaelekea huna majukumu wewe
  10. P

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi na walimu ni kama maadui

    Wazazi ndio kwanza waaribifu wa tabia kwa watoto lawama kwa walimu ,ukitaka kujua hili kumbuka kipindi cha korona wazazi walikaa na watoto nyumban wakawachoka "eti shule hawafungui tuu"nin maana yke,wanafunzi wanashinda mda mrefu na mwalimu hivyo kunatabia mwanafunzi anazoficha kwa mda mfupi kwa...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Majukumu ya Wizara ya Elimu na Wizara TAMISEMI kwenye elimu ni yapi

    Pia swali lako hajikaa vzr,nani anayeandaa Combination Mpya au nani anayetekeleza ufundishwaji wa hizo,anayendaa Wizara anaye tekeleza Kwa ufundishwaji TAMISEM
  12. P

    JamiiForums Tanzania Majukumu ya Wizara ya Elimu na Wizara TAMISEMI kwenye elimu ni yapi

    Combition ziliandaliwa na Wizara lakini zilishushwa TAMISEMI kwa utekelezqji.Majibu umeshayapata
  13. P

    JamiiForums Tanzania Majukumu ya Wizara ya Elimu na Wizara TAMISEMI kwenye elimu ni yapi

    Wizara ya Elimu inahusuka na sera pamoja na miongozo inaelekeza taasisi anzazisimamia kama TIE kwa ajili ya kuanadaa,kumbuka wizara ya elimu ina taasisi nyingi zilizo chini ambao zinafnya kazi kwa niaba yke baada ya kufanya kazi watekelezaji na wasimamizi wakubwa ni TAMISEM
  14. P

    JamiiForums Tanzania Majukumu ya Wizara ya Elimu na Wizara TAMISEMI kwenye elimu ni yapi

    Wizara ya Elimu inahusika na sera na miongozo ya elimu TAMISEMI inahusika na mambo ya ajira za walimu na uendeshaji shule
Back
Top Bottom