Naona wachangiaji wengi pamoja na mtoa post hawajitambui. Kwani mwenye jukumu la kuthibitisha ufisadi huo ni serikali na mahakama. Serikali ilimwomba ajihudhuru naye akafanya hivyo baada ya hapo kilifuata ni uchunguzi ambao haukufanywa,baada ya hapo alitakiwa apelekwe mahakamani jambo ambalo...
Kweli hawa jamaa ni wajinga kwani LISU ni mwanasheria wa serikali hata wamtake amtaje? Jakaya ndiye haswaaa anayetakiwa kumtaja lakini inashangaza kuona miaka mingi sasa mmiliki wa richmond hafahamiki. Jakaya usitutie ujinga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.