Recent content by Person Of Interest

  1. P

    Bint yangu anaugonjwa wa ajabu

    Usikate tamaa endelea kutafuta daktari mwenye uelewa na huo ugonjwa.Mimi nadhani huo utakuwa ni UGONJWA UNAOHUSIANA NA UFAHAMU PAMOJA NA UBONGO ukichangiwa na mazingira.Endelea kutafuta daktari anaejua matatizo ya mtoto wako,nina imani atapona kama akipatiwa matibabu sahihi wa huo ugonjwa...
  2. P

    Msaada: kwa anayejua shule ya sekondari Bagamoyo

    Kuhusu academic performance google matokeo ya Bagamoyo Sekondari kwenye mtandao wa internet au tembelea tovuti ya necta.Umbali wa Bagamoyo Sekondari kutoka mjini kwa makadirio ni kama kilomita 3..sio mbali sana ukifika stendi ya Bagamoyo mjini panda pikipiki au bajaji ukiuulizia Bagamoyo...
  3. P

    Mzigo kwanza document baadaye.

    Kwanza najaribu na kuuchunguza mzigo kama upo vizuri na salama halafu ndio document baadae.
  4. P

    Mke wangu wa NDOA ananilazimisha nitoke nje ya Ndoa

    Kama hamjakoseana,mbembeleze akuambie kwanini anakuwekea vikwazo ikishindikana fanya uchunguzi ujue sababu ya yeye kuwa hivyo.
  5. P

    Apply for Ordinary Diploma Studies.

    Kwenye gazeti wameandika hizo kozi zinadhaminiwa na wizara ya nishati na madini.Habari ulizosoma kwenye tovuti zinaweza kuwa hazijajitosheleza lakini utakapopata fomu za kujiunga zitakueleza kozi husika zinadhaminiwa na serikali yani under "GORVERNMENT SPONSERSHIP"..Kila la heri!!!
  6. P

    Apply for Ordinary Diploma Studies.

    Ndio watakaofanikiwa kuchaguliwa watadhaminiwa na wizara ya nishati na madini. ( FULLY SPONSORED BY THE MINISTRY OF ENERGY & MINERALS ).
  7. P

    Mke wangu ameniomba nimtaftie mwanamume wa kumliwaza

    Unaweza dhani unatatua tatizo kwa kumkomesha mkeo kumbe ndio unazidi kuharibu mahusiano katika ndoa yako.VUNJA UKIMYA kwa kutatua mgogoro kati ya mkeo na mama yako kisha msameheane.
  8. P

    Nimeshanganyikiwa Sijui ntafanyaje naombeni wenu wanaJamiiForums

    Inawezekana kabisa akawa ameshika mimba kwasababu kitalaamu dalili huanza kuonekana kuanzia siku ya 10 hadi 14 baada ya tendo.Nakushauri ujiandae tu kukabiliana na hilo tatizo la kulea mtoto.
  9. P

    Apply for Ordinary Diploma Studies.

    Mineral Resources Institute(MRI) ikisaidiwa na Wizara ya Nishati na Madini imetoa nafasi za masomo kwa wanaotaka kusoma kozi ngazi ya stashada yani Diploma in Petroleum Geosciences na Environmental Engineering and Management in Mines. Fomu za maombi zinapatikana makao makuu ya wizara ya nishati...
Back
Top Bottom