Msaada: kwa anayejua shule ya sekondari Bagamoyo

JambaziSugu

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
245
203
Habari wana Jf, kwa yeyote anayefaham shule tajwa hapo juu ilipo kutoka bagamoyo mjini anijuze. Pia hata performance yake kitaaluma ningependa kufahamu.
 
Kuhusu academic performance google matokeo ya Bagamoyo Sekondari kwenye mtandao wa internet au tembelea tovuti ya necta.Umbali wa Bagamoyo Sekondari kutoka mjini kwa makadirio ni kama kilomita 3..sio mbali sana ukifika stendi ya Bagamoyo mjini panda pikipiki au bajaji ukiuulizia Bagamoyo sekondari watakupeleka mpaka shuleni..KILA LA HERI ..
 
Matokeo yao si mabaya sana ya kawaida kiasi fulani i have been there for two years i graduated in february this year,shule haiko mbali kutoka Mjini kama Km 3 au 2 hivi kwa boda boda unalipia buku na kwa tax ni buku mbili jero tu.
 
kasome dogo, jina la serikal ni Bagamoyo sekondari ila jina la wakazi wa kule ni Magambani. Ukifika waambie wakupeleke magambani
 
Habari wana Jf, kwa yeyote anayefaham shule tajwa hapo juu ilipo kutoka bagamoyo mjini anijuze. Pia hata performance yake kitaaluma ningependa kufahamu.

is among of the best and famous school in Tanzania,its like a college every student is free at daytime of weekend so you must study if you need good performance.
 
Habari wana Jf, kwa yeyote anayefaham shule tajwa hapo juu ilipo kutoka bagamoyo mjini anijuze. Pia hata performance yake kitaaluma ningependa kufahamu.

shule ipo km3 kutoka town ipo karibu na chuo cha tasuba,beach lik 100m,ni wewe tu,performanc ipo powa kiasi.i was there.Egm wa kwanza.
 
Back
Top Bottom