Yani izo ndoto za kurudi kijijini na mashuleni zote zinaashiria umetupiwa roho ya kurudishwa nyuma ndo mana hamna jambo linaloenda mbele
Na kutoka kwenye Ivo vifungo ni kupitia maombi coz uko kwa waganga unaenda kupotea mazima.
Kuna Uzi umu ndani umezungumzia vizuri maswala ya kiroho ukiufatilia...

Asante sana 7seven
Mungu akubariki sana kwa maelekezo haya mazuri, hakika nimepata mwanga wa namna ya kufanya ili kuzifikia baraka zangu, Mungu aendelee kukutumia zaidi na zaidi maana hii ni zaidi ya msaada kwetu sisi tunaomtumaini yeye, Naamini Bwana Yesu atanifungua maana nilikua sijui pa...
Hello wapendwa
Asante 7seven, walker water na wote mnaoutusaidia kumjua Mungu zaidi na zaidi.
Nilikua naomba muongozo nifanyanyaje juu ya shida yangu hii
Mimi tatizo langu ni uchumi mbaya sio kawaida ata mahitaji tu ya muhimu nakosa
Nmemaliza Chuo miaka mi3 sasa lakin ata kaz ya kujishkiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.