Recent content by PERFECT

  1. P

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo, jibu haya maswali, Sikuelewi kabisa!

    Mkumbo kwani kapona? Akili yake haipo sawa anatokwa na povu akisikia UKAWA
  2. P

    JamiiForums Tanzania Tamko la jukwaa huru la wazalendo kuhusu posho za Wabunge na baadhi ya Taasisi

    Mtanzania bana, Badala ya kupinga Posho ya Mbunge mnapinga Posho ya kitako? Vijana wa nchi hii majanga, eti Jukwaa la wazalendo? NB: Posho ya Mbunge 8M per month while Posho ya Kitako 120,000 kwa siku. Mbunge akiwa hayupo hakuna ya kitako ila ya mbunge ipo!?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Dalili za Lema kuukosa ubunge

    Mkuu, Jifunze kuandika vema kiswahili, kuna tofauti kubwa kuandika hapa jamvina na kama unamtumia mwenzi wako. Lugha uliotumia kuandika si kiswahili sahihi na point zako zitakuwa si sahihi pia. Over!
  4. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

    Lipo Msogo
  5. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu please, acha kumuibia Lowassa!

    Hii inadhihilisha kuwa watanzania wengi hawana kazi za kufanya. Kama una kazi usingepoteza muda kwa kuandika utumbo mrefu kiasi hicho
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kwenye Jamhuri mengine hayawezekani, Tundu Lissu anafahamu pia

    Kuapa kuitumikia katiba ndiyo sawa na kumgumikia rais? Hatukatai Magu ni rais ila wa baadhi ya maCCM. Atakuwaje wa jamuhuri wakati umefutwa uchaguzi wa upande mmoja wa muungano? MaCCM buana
  7. P

    JamiiForums Tanzania Askari walilazimika kutumia mabomu kutawanya wana CHADEMA Bugando

    Asikali = asikari
  8. P

    JamiiForums Tanzania DC Makonda, ni Kujipendekeza au Utovu wa Nidhamu?

    Huyo mmaza kakumbatiwa na Makonda ndiyo naniii?
  9. P

    JamiiForums Tanzania CCM Tusifanye Makosa Tunatakiwa kuwa na Naibu Spika Msomi Hakuna Namna!

    We mtu upo? Ulikimbia JF kitambo
  10. P

    JamiiForums Tanzania Tamko BAVICHA kuhusu mauaji ya Mwenyekiti wa CHADEMA Geita

    KATAMBI ni mjinga na mtu asiejielewa, kaipoteza BAVICHA yetu na Kaenda Shy kauza Jimbo la Shinyanga Mjini kwa Masele. Anajua kuwa si mzawa wa Shinyanga akangangania kugombe kaisambaratisha CHADEMA shinyanga na Sasa CHADEMA Taifa. Leo Mh.Lowassa anasema hamtambui Ndg. MAGUFULI yeye anatoa...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa CHADEMA wilaya ya Shinyanga Mjini wapigwa chini

    Heshima mbele... WADAU,Chama cha CHADEMA taifa, kimewasimamisha viongozi wa wilaya ya shinyanga mjini,mwenyekiti Mbarouk, katibu Ngasa pamoja na Mweka hazina bwana Kasiri. Taarifa za uhakika zinasema uongozi wa wilaya wamesimamishwa rasmi jana. na umeleta taharuki kwa baadhi ya wapenzi na...
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi Zaidi : Instagram Party VS Nyama Choma

    Wadau, Tunataka kuona ipi itakuwa ni event ambayo itabamba hapa jijini Dar siku ya j'mosi May30, kati ya Instagram Party vs Nyama Choma. Kwa maneno mengine, Instagram Party ipo kwa kijana machachali Fredy na team yake Idris na Wema Sepetu. Upande Mwingine, Nyama Choma ni bi Carlo Ndosi...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi, Naomba uondoe nia yako ya kugombea ubunge Shinyanga Mjini

    Ni kwao, ni kwake. Wanashinyanga hatutaki mgombea wa take away. Anakipasua chama wilaya.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi, Naomba uondoe nia yako ya kugombea ubunge Shinyanga Mjini

    Uzawa si ukabila wala udini
  15. P

    JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi, Naomba uondoe nia yako ya kugombea ubunge Shinyanga Mjini

    Sawa mkuu, huu uzi utadumu kizazi na kizazi utaumbuka mwenyewe. August 02 siyo mbali Shinyanga ni zaidi ya uijuavyo mkuu
Back
Top Bottom