Ili upate honor GPA, inategemea conditions mbili, Kwanza kama GPA yako ni kuanzia upper second kupanda uli imantain, au bila supplementary. Pili ni GPA kupanda kila mwaka(haijalishi ulipata sup au hukupata).
N.B unaweza kuwa na first class ila usipate honor.
Dah! nimefuatilia nimekuta ipo kweli, nadhani wameianzisha mwaka huu MUCE nahisi UDSM watakuwa wameipeleka pia kule, lakini sijajuh lengo lao la kuipeleka Kule kwa sababu kile ni chuo cha walimu, na Bsc in chemistry hawezi kuwa mwalimu!
Mara nyingi wanatokea kwny academic institutions na mtiririko wake unakuwa hv
Tutorial assistant
Assistant lecturer
Research fellow
Lecturer
Senior lecturer
Associate professor
Professor
Lakini mpaka kufikia hapa lazma uwe umepitia hatua zote alizoainisha jamaa hapo juu, vilevile ni cheo tu cha...
Objective ni kuproduce chemists ambao watafit in different chemistry related fields available
Hii course ina specialize ktk hz sehemu analytical chemistry,medicinal chemistry, industrial chemistry, quality control and quality assurance, waste& environmental management e.t.c
Mara nyingi...
Hiyo ya MUCE ni Bsc of education in chemistry na inatolewa pia UDSM main compus na MKWAWA, Bsc in chemistry Tanzania inatolewa na vyuo viwili tu , UDOM na UDSM na hizo ni course mbili tofauti kabsa.
josee88, Ni kwamba UDOM wanakuja kwa kasi sana ndiyo maana hivi vyuo vya zamani vinakipiga sana vita. Na kwa sasa product zao zimeanza kuingia kwenye soko la ajira kwa kasi.
Nb: Ushabiki wa vyuo katika elimu hauna tija yeyote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.