Recent content by peoplespower54

  1. P

    Mbunge Selasini apata ajali mbaya! Akimbizwa hospitali, watatu wafa papo hapo akiwamo mamake

    WanaJ, Tumekuwa tukihabarishana habari za siasa na jamii pia. Lakini kwa CDM ni msiba mkubwa sana kwani Mhe. Selasini anaweza akakosa vikao vya bunge lijalo kutokana na majeraha aliyonayo na pia msiba wa watu 4 ambao ni ndugu wa damu. Someni nukuu hii muweze kuona ni kwa jinsi gani jamaa yetu...
  2. P

    Mbunge Selasini apata ajali mbaya! Akimbizwa hospitali, watatu wafa papo hapo akiwamo mamake

    Mh. Selasini, pole sana, na pole sana pia kwa baba yako na zaidi sana kwa kifo cha mama yako na wengine wote waliokufa kwenye ajali. Mwenyezi Mungu awatie nguvu kipindi hiki cha majonzi. Waliokufa Mungu awarehemu na kuwasamehe makosa yao yote japo hawakupata muda wa kutubu.
  3. P

    Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    Ni jambo la kumshukuru sana Mwenyezi Mungu. Penye haki siku zote Mungu huwa anatawala. Sijui sana kuhusu kesi hiyo lakini kama njia za panya hazijatumika kutoa hukumu Mungu ashukuriwe
  4. P

    Lema ataja Mawaziri ‘wazito’ wanaoenda CHADEMA

    Kuwa kimya ni hekima sana kuliko kusema, na ukitaka kusema basi utumie hekima zaidi. Chadema mnaanza kutupoteza. Acheni kulewa umaarufu mkiifikiri mmefika. You still have long journey to travel. Wanachama, wapenzi na hasa VIONGOZI wa chadema mfike mahali sasa muache kuropoka kwenye vyombo vya...
  5. P

    Ushauri kwa rais kikwete

    Mimi ni Mtazania na naipenda sana nchi yangu. Nasikitishwa sana na utendaji mbaya wa viongozi na watawala wa nchi hii. Leo nitazungumzia nafasi ya Rais na Watendaji wake katika ngazi mbalimbali. Nimekuwa nikisoma sana makala, story na tips mbalimbali ambazo zinamkashfu Rais. I will be very...
  6. P

    Mustafa Sabodo atinga Baraza kuu la CHADEMA na kuahidi makubwa

    Sabodo is not a Tanzanian. He is more than a Tanzanian. Sabodo is not a hypocrite, he a s person to learn from. Business people should imitate what Sabodo is doing. He is really a man of decision. Laiti angekuwa kwenye baraza la mawaziri la Kikwete angewafundisha adabu maana akiamua ameamua
  7. P

    Mapokezi ya mbunge wa viti maalum Karatu

    Inasikitisha kama mtu mzima anaweza akauliza swali kama hili. Hivi mtu akipata neema si lazima watu wafurahi na washangilie? Sasa huyu dada yetu kuna shida gani kumpokea? Yaani kwa chadema ni kama wazazi ambao wamepata mtoto lazima wafanye sherehe. Huyu jamaa muuliza swali aidha anataka kuteka...
  8. P

    Mwenyekiti wa CHADEMA Usa River auwawa kinyama

    Ni huzuni kubwa sana kwa kitendo hiki cha kinyama. Sipendi kusema watu walipize kwa kitendo hicho kwa sababu najua watu wana hasira. Cha maana sana na cha msingi, watu tuingie katika maombi kwa Mwenyezi Mungu ili hao watu wakamatwe tuweze kujua kwa nini walifanya kitendo hicho na ndipo tutajua...
  9. P

    Tendwa ona Lema alivyopokewa Arumeru kwa shangwe

    Well, kaa ya Lema ina mambo mengi. To be sincere, it is not encouraging for the MP to be what Lema is and doing. Of course to youngsters it doesn't matter. But we are here to evaluate each and everything which a person does especially to a Member of Parliament. Lema should try to learn through...
  10. P

    Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

    Kwa kweli kwa hili Kikwete ameonekana hana akili kabisa. Tuko watanzania zaidi ya 40mil. Watu hao aliowateua wengine wamekaa serikalini wanakula kodi ya wananchi zaidi ya miaka 30 bado anaendelea kuwapa maisha mazuri tu wakati wako wasomi wazuri na ambao hata ajira hawana, kwa nini asiwagawie na...
  11. P

    Risk Assessment and Management: CHADEMA nayo Imuondoe Dr. W. Slaa!

    "Chadema ilifanya kosa kumteua Slaa kuwa mgombea urais, makosa haya kisiasa ni ya kawaida, kwani haujui adui yako anasema nini, japo swala la kupakwa uchafu wa udini kutokana na background ya Slaa lilikuwa wazi na hapa risk management ilitakiwa Leo hii wote tunajua position na mchango wa...
  12. P

    CHADEMA wamejiandaa vipi KUENDESHA NCHI?

    Naungana na wote waliochangia kwa mapana suala la Chadema kujiandaa kuchukua nchi. Mimi nitoe tu ushauri kwa chadema. Wanaweza kufikiri huu ni mzaha. Ukweli ni kwamba wanatakiwa kufanya tafiti za kina kuhusu fursa na vikwazo vya maendeleo kwa nchi yetu. Wanaweza kufikiri wanajaribu kuongoza...
  13. P

    GE2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

    Kwani wazee na kina mama (ina maana hakuna kina mama wazee?) wana shida gani au wanafikiri wazee ndo wa ccm?
  14. P

    Viongozi wa CHADEMA wavamiwa hotelini na Green guard wa CCM-Igunga

    Naamini Mungu ambaye hutulinda hata tukiwa usingizini atawapigania wale ambao wanatetea haki za wanyonge. Wanawavamia kwa sababu gani? Wamepagawa na pepo wachafu washindwe kwa Jina la Yesu. Wana wa nchi (CHADEMA), msiwaogope wale wauao mwili wasiweze na roho, wakiingia kwa njia moja watatoka...
Back
Top Bottom