Recent content by pension

  1. pension

    Wema Sepetu: Najuta kutoa mimba ya Marehemu Kanumba

    Shangazi yangu alinionya nikiwa bado mdogo "mwanangu kamwe usiwahi kutoa mimba maishani mwako, mimi shangazi yako nina kila kitu. Maisha mazuri, kazi ya maana UN, Mali nyingi ila sina raha sababu sina mtoto. Nilitoa mimba nyingi sana zsababu usichana wangu nilikua kati ya wale air-hostess wa...
  2. pension

    Wosia wa Le Mutuz kwa wanaowaza kwenda nje

    Penye nia pana njia!!!!! Bora uwahi Blanket kabla hakujakucha
  3. pension

    Wosia wa Le Mutuz kwa wanaowaza kwenda nje

    Big up mkubwa! hapo umeongea. Ughaibuni nikujituma tu ndio silaha watu waliyonayo. Watu tulianza na $7 an hour job miaka 15 iliyopita sasa hivi mshahara ni mid six figures. Bongo tunaendeleza na ughaibuni maisha comfortable na savings za maana, hamna credit card wala car note. Wabongo ughaibuni...
  4. pension

    Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

    Hii ni Marketing Strategy ya upcoming JD's Show. Gardner ame create drama ili kila mtu now amuongelee JD na kumuonea huruma na ndio hapo watu watataka kujazana kwenye show. Hata kama hawapo pamoja but mkumbuke Gardner hajawahi kujibu vijembe vya JD hata siku moja, kwanini aongee hivyo kipindi...
  5. pension

    Kuna familia zina laana ya asili

    Wana JF someni hii document na maombi itawasaidia kwenye hii mada
  6. pension

    dada zetu thamani ya mapaja ndio basi?

    Halafu watasema siku hizi wanaume sio waoaji, wanaishia kuzitafuta ndoa usiku na mchana. Mwanamke kujistiri tena hasa ukiwa mke wa mtu. Tunatakiwa tuwaache wanaume wapate imagination "hivi huyu dada akivua hiyo jeans mapaje yakoje?" ila siku hizi yawachwa wazi kama benchi la kituo cha basi
  7. pension

    Baada ya kuambiwa HANA baba na kulea mtoto sana aambiwa baba yake YUKO hai siku ya msiba wa mtoto!

    Pole kwa huyo dada. Hapo nahisi pasingeweza kukalika maana nilee mtoto kwa miaka 4 mwenyewe wewe baba mtu hujishughulishi halafu unakuja kutaka maiti? Sio kwa ubaya ila kwa kweli nyumbani huko wanawake hawajui rights zao na yale mambo ya kuachia familia ndio iamue uishi vipi maisha yako ndio...
  8. pension

    PICHA: MATAWI YA CCM MAREKANI WAHUDHURIA MKUTANO WA CCM DODOMA, Wapewa ROUND TRIP TICKETS na CCM

    Napingana na hilo, sio kila aliye huku ughaibuni ana stress za maisha au anatafuta opportunity ya kurudi nyumbani. Juhudi yako ndio utajiri wako na upeo wako wa kufikiria ndio umaskini wako. Some of us tupo ughaibuni tunajishughulisha na tumejijenga bongo kisawasawa kwa hizi opportunities...
Back
Top Bottom