Recent content by pendochelsea

  1. pendochelsea

    Mpenzi wangu anapenda sana kubet na lugha za kihuni kama mwanaume

    na hii mada imenigusa sana maana hata mm mtu wangu alikuwa ananishangaa lakini sasa hv amenielewa na ananipenda Zaidi ya akati tunaanzana, tena yeye mwanaume wala habet lakini sikuhz ye ndo wakwanza kunitumia fixtures
  2. pendochelsea

    Mpenzi wangu anapenda sana kubet na lugha za kihuni kama mwanaume

    kubet na bet kaka tena nimeanza kitambo toka akati nasoma chuo mzumbe. Na ofcourse nishashindaga maranyingi pesa za kubet napenda mpira nashukuru mpira umenisaidia nisipende mambo yasiyofaa
  3. pendochelsea

    Mpenzi wangu anapenda sana kubet na lugha za kihuni kama mwanaume

    tofauti hapo ni kwamba mi nafanya kazi, so kuonana na washkaji ni weekend tu tena ile mida ya mechi za premier league
  4. pendochelsea

    Mpenzi wangu anapenda sana kubet na lugha za kihuni kama mwanaume

    alafu m iezi miwili mbona bado sana kaka embu endelea naye utaenjoy tu kampan yake sisi wanawake tunaopenda mpira ukituelewa hutafikiria wanawake wengine
  5. pendochelsea

    Mpenzi wangu anapenda sana kubet na lugha za kihuni kama mwanaume

    DUU uyo mdada anatabia kama zangu jamani sema angalau mm kuna tym nakuwaga romantic hasa nikiwa na mtu wangu
  6. pendochelsea

    Special kwa wale wanaopenda kimya kimya bila kumueleza muhusika

    ahahaahahahhaahha ktbffh... njoo Chelsea mwenzangu tulike-ane humu forumuni
  7. pendochelsea

    Wanaume wenzangu nini kimetusibu mpaka tunaendesha vigari vidogo?

    mmmh unatafutwa kuchambwa na wanaume wenzio ngoja waje hapa uone mapovu yao
  8. pendochelsea

    Je, mke wako hakuongeleshi?

    ahahahaha duh una akili sana we jamaa
  9. pendochelsea

    Wanawake mtatuua tuoneeni huruma

    ahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  10. pendochelsea

    Special kwa wale wanaopenda kimya kimya bila kumueleza muhusika

    mimi hata sina....bado natafuta ila nikimpata mwanaume anayependa Chelsea fc kama mm angalau ntamtag
  11. pendochelsea

    Wanawake mtatuua tuoneeni huruma

    ahahahahahaha tutawafuata huko huko maofisin ndo akili zikae sawa maana mnakwepa huduma sikuhz papuch mnataka lakin kuwasaidia wanawake shida ndogo ndogo mnakuwa wagumu
Back
Top Bottom