Recent content by pendo

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya M4C OPD leo tarehe 1 Februari, 2014

    Nashukuru kwa harakati zenu za kuwatoa wananchi matongotongo kupitia M4C OPD. Mmezunguka karibu nchi nzima sasa kwa Nini? Kwenye jimbo na vitongoji vyote vya muheshimiwa Mwigulu Nchema sijaona kwenye ratiba zenu mkitaja au ndio kusema mnamgwaya?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Je CHADEMA hawana watetezi wa chama Mikoani mpaka akina MBOWE, SLAA na LISSU wanazunguka kwa CHOPA?

    Kaa kimya wewen mbona nape na kinana walipokua wanazunguka mikoan na hoja ya mawaziri mizigo kwa nini hawakuwatumia viongozi wao wa huko?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa CCM: Kutimilika kwa Unabii...

    Unaongea hivyo kwa kuwa mmezoea kuiba kura
  4. P

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya la Mawaziri kutangazwa hivi punde

    Kwa maono yako zito,cdm ndiye msomi sana sio?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya la Mawaziri kutangazwa hivi punde

    Umekosa ya kuandika
  6. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ukiwaona Ditopile afariki dunia

    taarifa ya msiba mizito tumeipokea ila tunaomba utupe picha ya marehemu Kalumuna kama ambavyo umetuwekea picha ya marehemu Dito itakuwa ni vyema kwani wengine hatumfahamu. natoa pole kwa wafiwa. Mwenyeezi Mungu awape subira inshaallah
Back
Top Bottom