Recent content by pendesale em

  1. P

    Ule uongo wa miaka nenda ndio umefika tamati

    Ni ukweli usiopingika kuwa majirani zetu wanatumia udhaifu wetu .kwan pamoja na kuwa na vivutio vingi vya watali hatuvitumii ipasavyo.Sasa wenzetu wanaona fursa hiyo wanaitumia tunaanza kulalama . Pasco tulia tunyolewe
  2. P

    Mdahalo wa mkikimkiki tarehe 30 Agosti, 2015; Mada UTAIFA ( sera za vyama)

    CCM watwambie hatua gani itafuata juu ya katiba mpya? Je! wanaendelea na msimamo wao au tutaanza upya?
  3. P

    Prof. Lipumba arejea nchini

    Harakati zote za Ukombozi huambatana na mamluki, wasaliti nk ,: wakati huu ni wakati wa mapambano haitakiwi kuhangaika na wanao rudi nyuma
  4. P

    Unaweza kutueleza ni kwanini unaichukia CCM?

    Tukutane 25 oktoba
  5. P

    CCM na 'malani'

    kila kifo kina chanzo chake, kwahiyo hayo yote uliyoeleza ni baadhi ya vyanzo vya kifo cha utawala wa ccm.
  6. P

    Kijana mmoja achomwa moto Tegeta

    Mafisadi kila siku tunapishana nao tu barabarai.kwanini tusichome nyangumi moja ili tuheshimiae na tujue kuwa wananchi wanahasila kweli!
Back
Top Bottom