Recent content by penalty

  1. P

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi ni Mchanganyiko wa Mdude + Lissu. Je Alikuwa Wapi Wakati wa Hayati Magufuli?

    UTUKUFU KWA MUNGU JUU NA AMANI DUNIANI KWA WATU WENYE MAPENZI MEMA.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kasoro kubwa ya PR! Hivi DP World wamekosa timu bora ya kuwatetea Tanzania

    nina mashaka na uraiya wako
  3. P

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waarabu wa Dubai Port kuwang'oa TICTS bandarini

    wacha kuzungukazunguka jibu unalo
  4. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam

    tatizo siyo kampuni , ni mkataba tunaoingia nao
  5. P

    JamiiForums Tanzania Dhana potofu ya kwamba kila mtu kaandikiwa kifo chake

    Mungu anaweza kukupangia uwe shoga?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kamala Harris karibu Tanzania ila usitupige chenga kama Wazambia, au umekosea?

    usishangae ni time travel theory implemented [emoji23]
  7. P

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho na Kilele cha Usomaji Quran kufanyika Siku ya Pasaka ni Dharau na Uchokozi kwa Wakristo au ni Utaratibu tu?

    Kuna matukio na maadhimisho ya kikistu hasa katika kanisa katoliki Rais Samia amealikwa na amehudhuria. Sasa waislamu wameona mara nyingi analikwa na wakristu na hata pasaka wameona wakristu wanaweza kumwalika,hivyo wakatumia mwanya huo kumzuia asishiriki na wakristu. Kwa maana nyingine ni wivu tuu
  8. P

    JamiiForums Tanzania Michael Jackson ni mmoja ya watu wenye akili sana waliopata kuzaliwa Duniani

    umemsahau Bob Marley
  9. P

    JamiiForums Tanzania China spy/survaillance baloon

    lakini mpaka tuache uchawi tunikite kwenye technology
  10. P

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    tafsiri ya hii?
  11. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

    nguo zake walizipataje? je kama moto ulijuwa mkubwa ingekuwa rahisi mtu mkusogea karibu na kuweza kuchungulia kwenye gari ili kujua watu waliopo ndani?
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afrika yaingia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022

    kuna wakati eti Morocco waliomba kujiunga na jumuiya ya Ulaya[emoji849]
  13. P

    JamiiForums Tanzania Shaka: CCM inalaani kitendo cha Chacha Heche kumdhalilisha Vibaya Mwanachama wa CCM

    hili nalo hawalikumbuki?
  14. P

    JamiiForums Tanzania Hatua sita za uumbaji

    2 Pet 3:8 Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

    ninafuatilia huu uzi kwa makini sana.sijaona mahali Mshana Jr amepotosha,bali anajaribu kutufanya tu reason .tusijifunze vitu kwa kukariri au kukaririshwa. isitoshe biblia ni mkusanyiko wa vitabu vilivyokuwa vimeandikwa asili ya lugha kiebrania, Aramaic ,kigiriki nk. ktk kutafsi huenda...
Back
Top Bottom