Kuna mfumo wa kupata wagombea urais hapa nchini. Wakishajulikana ndio kila mtu ampambe mgombea wake. Wa kwangu awe mtu mwenye uwezo wa kututoa katika hii hali ya umaskini, kwa kubadilisha mfumo wa elimu yetu uwe kama wa India au China. Ili ndani ya miaka kadhaa tuwe tunafanya mambo yetu...
Imani ni kitu kingine kabisa. Na ukilazimisha sana kama waliojenga mnara wa Babeli cha moto utakipata ikiwa ni pamoja na kuwa mwehu au kupoteza maisha kabisa. umesoma maandiko, yakubali au yakatae usonge mbele. Sasa Yona kumezwa na samaki, mazingira yenyewe unayajua; kwenye maji hakuna hewa wala...
Tunashukuru kwa darasa zuri.
Naomba kuuliza swali! Je kama nimelipwa interest inayotokana na kucheleweshwa malipo napashwa kulipa VAT au ni Corporate tax tu?
Tatizo dira ya nchi hii hailengi mambo kama haya. Na wenzetu wanafurahia mbu wawepo watupe malaria tuugue, tufe wao wapate nafasi ya kuja kuishi Afrika.
Hata uwe na PhD ngapi bila system kuamua hata kama umegundua kitu unaweza kuuawa ili mradi makampuni ya nje yaendelee kutuuzia dawa tena sio...
Tatizo Wabongo tumelala usingizi mzito. Tunalalamika ajira hakuna anakuja Mchina umbali wote huo anaweka genge lake anaishi! Tuamkeni jamani fursa zipo hatujitambui! Hata wazo la Waziri Mkuu tunalipuuza lakini lina ukweli ndani yake! Nashukuru kuna ambao wameshaanza kulitekeleza na wanaishi kwa...
Kuna jambo limejificha kwani hata mchakato wa kuteua mgombea wa chama fulani umekiukwa!
Ke wanachakarika sawa lakini usaidizi kwa Me unabaki palepale la sivyo yanayotokea ulimwenguni kwa sasa yamesababishwa na Ke kutokufuata mipango ya Muumba wetu! Usagaji, ushoga nk vimejitokeza hadi kupigiwa...
Haingii akilini mgombea mmojawapo ndiye anateua Tume huru ya uchaguzi. Unategemea hiyo tume iache kumptitisha hata kama ameshindwa? Sheria inazidi kukaza kwamba akishatangazwa hakuna kwenda mahakamani.
Tanzania tumesoma sana lakini hatujaelimika au hatujitambui.
Aende mahakama ipi? Labda ya The Hague maana hata hii ya Afrika Mashariki wote wamoja. Na si ajabu hata hiyo sahihi iliyofojiwa haipo tena. Huu mchezo ni mbaya sana na mwenyekiti mpya anatakiwa akisafishe chama sawasawa ili wananchi turidhike tukipigie kura!
Mimi nilituma laki saba na hamsini juzi kupitia Airtel money. Wakala akakosea namba zikaenda kwa mwenyekiti wa mtaa wa CCM huko Tabora. Ilikuwa saa sita na nusu. Saa kumi nampigia niliyemtumia pesa anasema hajaipata! Kwenda kwa wakala akacheki na mtu wa Tabora akakuta ameshaitoa hela yote. Na...
Enyi vijana je tunaridhika na hii hali ya maisha kwa sasa? Kama ni ndio basi twende na Mwamba la sivyo basi kuna haja ya kuwa na kiongozi mbadala. Kusoma tumesoma lakini wengi wetu hatujitambui tunadhani malaika watashuka kutupigania haki zetu. Mungu kasema tafuta na pigania haki yako Nami...
Tunachosema Mbowe anavutwa shati na CCM kwa vyovyote vile hawezi kupigania mabadiliko ya kweli kwa wananchi kwa sasa. Kama kiongozi mkuu wa chama tangu madudu haya ya uchaguzi yameanza 2019 sijaona uwezo wake wa kututoa katika mtanzuko huu! Akipita kwenye huu uchaguzi tujue uchaguzi mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.