Kaul aliyotoa naibu wazir wa elimu juu ya wanafunz waliokosa mkopo inaonyesh ni kiasi gani viongozi wetu ni vichomi mulugo amesema kasungula kalikuwa kadogo ivyo kila mtu auze alichonacho kama mbuzi kuku ngombe nk ili agaramie masomo kiongozi kama huyu kwa kauli zake hafai duniani na hata...
Mim nlisoma dip 2yrs bila mkopo wala msaada wa wazaz nlichofanya nilipang off compus na kitanda ilkuwa godor langu la nlilomalzia bording advance nilikuwa naenda chuo asb jion naenda stand y bus nakatisha tiket kila tiket moja nilkuwa napata 3000 hvyo asbh tena sa 11 alfajir naamkia stana kw...
Leo ndo nimeamini kuwa free manson wapo na kazi zao zinaonekana mansonly wanaamin katika mwanamke mjane anaitwa kabala kulingana na kitabu kinaitwa the mansonly tegris na ndio maana wanaitana brothers yaani wao n ndugu yatima ndio maana misaada yao inaelekezwa kwa yatima na wajane nina mashaka...
kusoma private sio kigezo ch kukosa mkopo acording to mwöngoz ila ina determine ni kias gan cha tution fee wakpe but ukiangalia mwongozo wao unaweza usiombe mkopo wao otherwise uforge sana document
Nimesikitika sana kw idadi kubwa ya wanafunz wapya wa vyuo vikuu kukosa mikopo mwaka huu ni kweli kuwa isingekuwa rahisi watu wote kupata lakini kwa idadi ya waliokosa inatisha mwaka huu. Lawama zangu za kwanza nazielekeza kwa mwaisobya afisa habar wa heslb kwani weng wanalaumu kwa kutokujua...
sio kweli ina soko sana hasa kwenye ngos nying wanawachukua sana na mashirika mengneo y nje yanayofanya kaz hapa böngo kama world vision isf snv amref nk na juz tu walitangaza nafasi shida watu mnataka kazi dar tu hata utendaji wa kata ukpata unazama anzia chni kisha panda juu
Sawa kabisa ni rahsi kutafuta kaz ukiwa na kaz lakikn n vgumu kupata kaz ukiwa huna kaz hizo ulizozitaja kaka sio za kujishkiza ndo kaz zinawaweka wtu mjini wanajenga na wanasomesha watoto au ndugu zao shida zetu sis tukigraduate tunataka na kaz wazaz wakutafutie ukfanya hizo wanakudharau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.