Recent content by Pedra buyer

  1. P

    JamiiForums Tanzania Baba umri umeenda lakini ana ng'ang'ana na vibinti vidogo,unatuabisha wanao.

    Namuheshim sana baba yangu sitaki kumkosea
  2. P

    JamiiForums Tanzania Baba umri umeenda lakini ana ng'ang'ana na vibinti vidogo,unatuabisha wanao.

    Mkuu umeona mbali,hilo ndo tatizo kubwa kuliko.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Baba umri umeenda lakini ana ng'ang'ana na vibinti vidogo,unatuabisha wanao.

    ni wazo zuri, tatizo Mzee mwenyewe anajiweza yuko vizuri ndo maana watoto tunakosa kauli.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Baba umri umeenda lakini ana ng'ang'ana na vibinti vidogo,unatuabisha wanao.

    upo sawa,sasa kwanini anakosa adabu?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Baba umri umeenda lakini ana ng'ang'ana na vibinti vidogo,unatuabisha wanao.

    Baba yangu kazidi jamani, mimi nikiwa kama mtoto wa mwisho katika familia nina umri 32 baba kaoa kabinti ka miaka 19, mzee kiumri no mzee kwelikweli. Tatizo linakuja huyu binti hana adabu hata kidogo anajiona yeye ndo kila kitu hadi anamdharau mama yetu na kumtolea maneno ya kejeli yaani hapo...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ananinyanyasia watoto wangu kisa yeye hazai, sijui nimfanyaje?

    wapo wawili,umri ni 9 na mwingine 7.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ananinyanyasia watoto wangu kisa yeye hazai, sijui nimfanyaje?

    Awali nilioa mwanamke niliyempenda na tukapendana, tuliishi maisha ya kawaida na yenye furaha sana mimi, mke wangu na watoto wangu wawili. Bahati mbaya Mungu alimpenda zaidi alipata ajali ya gari akiwa kwenye safari zake za ujenzi wa Taifa (Mungu aiweke roho yake mahala pema peponi). Basi baada...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanake wa kuishi nae

    Nataka mtanzania mwenzangu.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanake wa kuishi nae

    1/ Awe na elimu angalau Advance level 2/ Umri usiozidi 25 3/ Awe white mwenye mvuto na anayejikubali 4/ /Awe na umbo la kawaida asiwe mnene wala mwembamba 6/ Awe na nidhamu na heshima kwa kila mtu. Mengine tutarekebishana, nipo nje ya Nchi. Ukiwa na vigezo ni pm
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nimemfuma anapika chakula akiwa uchi jikoni

    Upo sahihi mkuu.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nimemfuma anapika chakula akiwa uchi jikoni

    Nawewe nawe unapikaga ukiwa uchi?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nimemtelekeza supermarket na bili ya laki nne

    Hahahahaha...nimecheka sana.Hivi wewe madem Wa town huwajui eeeh!!?Si mbaya alikuwa anapima kama ni mwanaume kweli au suruali
  13. P

    JamiiForums Tanzania Nimemfuma anapika chakula akiwa uchi jikoni

    ndo swali LA kwanza nililomuuliza.alinijibu "samahani mme wangu"akaenda kujifunga nguo
Back
Top Bottom