Watumishi wengi wa (hw) hatujalipwa mishahara yetu hadi leo. Na inasemekana hela zetu zimetafunwa pale hal'shauri. Ukiuliza hawatoi majibu ya kueleweka. Inasikitisha sana mtu umefanya kazi ila kupewa chako inakuwa tatizo. Na hii wilaya inaongoza kwa kunyanyasa watumishi hasa kwenye malipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.