Recent content by Pedaki

  1. P

    JamiiForums Tanzania Haki ya Kikatiba: Hongera Mkuu wa Majeshi, Hongera wana-JF na Watanzania

    we wee,we jamaa ni pumba kweli yaani!!! yaani bora hata na yericko nyerere!! nawewe nawe unasimama nakujiita msomi unayejitambua na unapigania mabadiliko!?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Haya niliyoandika hapa Oktoba 5,2015 yamehitmishwa na JK leo Jangwani, heshima kwenu JF

    we wee,hongera kwa kujua mipango ya ccm. siku 7 ulizowapa serikali zimeishia wapi? umepata ulichotaka? maana hii nayo uliita mbinu ya ccm pia!!
  3. P

    JamiiForums Tanzania Watakao bahatika kuwa hai mwaka 2056 watakuwa na bahati kubwa sana

    we wee,watu watakua na jicho la 3 lenye kujitambua na kujiongoza wenyewe. chip zitakua kwenye viganja vyemu everything your bank card and all your details vitakua kwenye chip.nothing you do without that chip in you... one government that rule the world,there will be no great nation neither...
  4. P

    JamiiForums Tanzania HESLB mnasubiri uchaguzi upite ndio mtoe majina ya waliopata mkopo 2015/2016?

    we wee,mbona miaka yote majina yanachelewaga?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Magufuli akacha Mahojiano ya BBC

    we wee,its obvious wapi bwana,hakuna tangazo hata moja lilisema anahojiwa magufuli,wangetangaza kama walivotangaza kuhojiwa kwa lowassa....
  6. P

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa makamanda na wadau wote wa mabadiliko chini ya UKAWA

    we wee,sheria inasemaje juu ya mikusanyiko isiyo nakibali na isiyo ya lazima?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Hivi UKAWA Mnadhani mama Maria Nyerere sio mwanachama wa CCM?

    we wee,hongera kwa kuweza kuongea na marehemu....!
  8. P

    JamiiForums Tanzania Hivi UKAWA Mnadhani mama Maria Nyerere sio mwanachama wa CCM?

    we wee,kingunge ni spare ya ngapi??
  9. P

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa makamanda na wadau wote wa mabadiliko chini ya UKAWA

    we wee,na sisi tunasema "ANAYE VUNJA SHERIA NA YEYE ATAVUNJWA TU"
  10. P

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa makamanda na wadau wote wa mabadiliko chini ya UKAWA

    we wee,unahisi kura yako moja inarepresent wapiga kura 1000?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa makamanda na wadau wote wa mabadiliko chini ya UKAWA

    we wee,kieleweke kipi wakati kura hazikutosha?? kwahiyo nyie mmekaa kisharishari hamtaki kushindwa?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa makamanda na wadau wote wa mabadiliko chini ya UKAWA

    We Wee,hawakuweka ili wewe ulinde kura,waliweka kuhakikisha shughuli zote za uchaguzi zinaenda kwa usalama zaidi....
  13. P

    JamiiForums Tanzania Hivi UKAWA Mnadhani mama Maria Nyerere sio mwanachama wa CCM?

    We wee,sumaye analipwa kwa kodi ya Ukawa Pekee?lowassa je?Nawewe Acha Uzoba....
  14. P

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa makamanda na wadau wote wa mabadiliko chini ya UKAWA

    we wee,kulinda kura si dhambi bali ni upumbavu,mnaonyesha hamna umuhimu wa kuwa na mawakala ni bora mngeomba kura zihesabiwe nje ya chumba cha kupigia kura wote muone..
  15. P

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa makamanda na wadau wote wa mabadiliko chini ya UKAWA

    We Wee,wewe unaye jua ukisemacho nijibu! kama system mmeishika,wasiwasi wenu ni upi mpaka mnalalamika kuwa mtaibiwa kura?
Back
Top Bottom