Recent content by Peculiar

  1. Peculiar

    Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

    Naungana nawewe kua aachane na mambo ya dini kama tu anaona hayamfai na hayampendezi lakini siafikiani na wewe kuwa dini ni upuuzi.na sijui kama kuna mtu anaishi bila kuamini chochote,kwa sababu hata kuamini sayansi bado nayo ni amani ambayo wengine inawasaidia na kuwafaa lakini wengine wengine...
  2. Peculiar

    Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

    Watu kama wewe,wakati yesu anafanya miujiza ndio wale waliomuita mchawi.kwa sababu wamejaa roho za chuki na ujinga ndani yao. Na sio wote wanaosoma huwa wanaona na na kukielewa sawia kile kilichondikwa. na ndio maana katika iyo aya Qur'an 24:14 uliyoinukuu(kwa kiswahili) hakuna palipoandikwa...
  3. Peculiar

    Chuki za kidini zinatoka wapi?

    Kama mazungumzo ni kuwa watu wa dini gani wanadhamini timu kubwa,ukisema kweli ilivyo utakua sahihi,na haileti ukakasi wowote. Ila kama mazungumzo ni wadhamini wa timu kubwa,kataja dini zao inaleta ukakasi. Kwa sababu sijawahi kusikia mdhamini wa timu akihusianisha udhamini wake na dini yake...
  4. Peculiar

    Chuki za kidini zinatoka wapi?

    nimependa umakini wako. Karibu tena,
  5. Peculiar

    Mandonga apumzike ngumi kwa muda, kama atashiriki ahusike kama MC

    Nakubaliana nawewe 100%. Ndio mana nasema aendelee kutumika kwa namna nyingine kwa kipindi ambacho anajitibia,anajipumzisha na kujiandaa. Na itakua vema sana kama atakua na watu sahihi nyuma yake wanaojali kazi yake katika kugawana maslahi. Maana mjini wanaokula sana au zaidi ya anayeumia na...
  6. Peculiar

    Chuki za kidini zinatoka wapi?

    Wahenga wanasema,"hakuna mtu aliye mkamilifu" Biblia inasema,'usihangaike na kibanzi kwenye jicho la mwenzio ilhali wewe una boriti kwenye jicho lako na huenda hujijui' Qur'an inasema,"hakuna kulazimishana katika dini na mtu ambaye mnatofautiana Imani" Imani zipo nyingi,Imani zipo nyingi...
  7. Peculiar

    Mandonga apumzike ngumi kwa muda, kama atashiriki ahusike kama MC

    Ni kweli anaingiza pesa,lakini anapigana mfululizo sana,halafu anapigwa, Zile ngumi anazobondwa nazo kichwani mfululizo ni hatari kwa afya yake ya mwili na akili. Ndio maana hata bodi ya ngumi wanasema hawayatambui,
  8. Peculiar

    Mandonga apumzike ngumi kwa muda, kama atashiriki ahusike kama MC

    Hakika! na kwa ushawishi wake angepiga hela tu kama anavopiga manara.maana mandonga tayari ni brand kwenye ndondi.
  9. Peculiar

    Mandonga apumzike ngumi kwa muda, kama atashiriki ahusike kama MC

    Hahaha! ni sawa,ila japo kufa ni kufa,ila Kuna kufa kishujaa na kufa kizembe. Mandonga mzunguko wa pili tu miguu inapoteza nguvu,anaachia uso mpinzani ajibondee,HUO NI UZEMBE.
  10. Peculiar

    Mandonga apumzike ngumi kwa muda, kama atashiriki ahusike kama MC

    Kweli awe makini kuanzia kwenye kujifua mpaka ulingoni,MANENO NA TAMBO ZAKE ZIISHIE KWENYE MEDIA.ulingoni awe makini na kazi yake, kama anavoojiita 'mtu wa kazi'
  11. Peculiar

    Mandonga apumzike ngumi kwa muda, kama atashiriki ahusike kama MC

    Ila kabla ya kurudi ajifue sana,kwa uwezo wake wa Sasa hawezi kosa chochote kinachohitajika katika kujifua.akiendelea kuingia kichwa kichwa hata hela anazopata hatozifurahia,sababu NGUMI NI MCHEZO HATARI SANA.kama unapigana kimandonga(kiutani utani) unajiweka katika hatari zaidi ya kutikiswa ubongo.
  12. Peculiar

    Mandonga apumzike ngumi kwa muda, kama atashiriki ahusike kama MC

    Unaweza kunisahihisha mana tunatofautiana namna ya kufikiri,huwenda mtazamo wako ukawa bora zaidi pengine.
  13. Peculiar

    Mandonga apumzike ngumi kwa muda, kama atashiriki ahusike kama MC

    Unaweza kunisahihisha mana tunatofautiana namna ya kufikiri,huwenda mtazamo wako ukawa bora zaidi pengine.
  14. Peculiar

    Mandonga apumzike ngumi kwa muda, kama atashiriki ahusike kama MC

    Kwanza nianze kumpongeza kwa anachokifanya,si kwamba nampongeza kwa kupigwa pigwa la,ila kwa kutumia fursa.waswahili wanasema "bahati haiji mara mbili" na "mungu akitaka kukupa hakuandikii barua" Mandonga licha ya kupoteza kwa kupigwa kwa aibu katika mapambano yake.bado hajawahi kuonesha...
  15. Peculiar

    GE2020 Nataka nimpigie kura Dkt. Magufuli ila kwanza nijibiwe haya...

    1. HOJA YA WANYONGE. a)Magufuli amekua akijinadi kuwa yeye ni raisi wa wanyonge. -Je anaweza kutuambia wakati anaingia madarakani aliwakuta wanyonge wangapi na mpaka asa wapo wangapi? b)Kuwapandishia bei bidhaa ndio kuwasaidia wanyonge? Mfano sukari: alivyoingia madarakani ilikua inauzwa 1800/=...
Back
Top Bottom