Wasaalamu!
Ni nderemo na vifijo kwa Mkoa mzima wa Singida na viunga vyake. Hatimaye kwa takribani miaka 17 sasa Tumefanikiwa kupandisha timu Ligi Kuu Ya Vodacom kwa Msimu mpya ujao wa 2017/2018.
Ndiyo, Singida United ndani ya ligi kuu. Tunamshukuru Mungu kwa yote, benchi la ufundi, wachezaji...