peaceful aman
Member
- Dec 28, 2016
- 18
- 9
Wasaalamu!
Ni nderemo na vifijo kwa Mkoa mzima wa Singida na viunga vyake. Hatimaye kwa takribani miaka 17 sasa Tumefanikiwa kupandisha timu Ligi Kuu Ya Vodacom kwa Msimu mpya ujao wa 2017/2018.
Ndiyo, Singida United ndani ya ligi kuu. Tunamshukuru Mungu kwa yote, benchi la ufundi, wachezaji wote kwa ujumla na wote wenye mapenzi mema.
Wana Singida wote semeni Oyoooooooo!!
Come On You Singida!