Recent content by peace.peace14

  1. P

    JamiiForums Tanzania Leo nimeamini Tanzania hakuna demokrasia , TANESCO leo umeme upo siku nzima

    Kura yangu Kwa lowasa
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kesho hakutakuwa na usafiri wa mikoani TABOA imewaruhusu madereva wote wakapige kura

    Aisee mwaka Huu kweli wa mabadiliko
  3. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    Tumemmpuza sana. Yaani CCM wanaongelea swala la Richmond ndio wanazidisha Hadija yangu. Waongo wakubwa. Miaka yote wake kimya Leo ndio wanaibuka. Kingine sisikii lolote mpaka waje na waongelee EPA, Escrow, radar na Twiga. Hawana legitimacy ya kuongelea Richmond na kuacha mengine.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nikiwa kwenye foleni ya kupiga kura nitakumbuka yafuatayo

    Mbao wa Umeme Kodi Kubwa
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nikiwa kwenye foleni ya kupiga kura nitakumbuka yafuatayo

    Uongo nilodanganywa miaka yote kwamba Maisha Bora Kwa kila Mtanzania
  6. P

    JamiiForums Tanzania Hivi Magufuli ameshawahi kugusia suala la "ESCROW"

    Escrow ni noma. Hawawezi iongelea wanatufanya majuha
  7. P

    JamiiForums Tanzania Swali: Humphrey Pole pole unamtumikia nani?

    Hata aletwe malaika kumchafua Lowasa tutamchagua tuuu. Nguvu Kubwa inayotumika na CCM haitashinda.
  8. P

    JamiiForums Tanzania GE2015 Lowassa: Viwanda bila elimu ni sawa na kazi bure

    Hayo mafunuo siyo ya kawaida. Jamari Lowasa chaguo la Mungu.
  9. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Chukueni hatua dhidi ya Dr. Slaa na Mzee Mwanakijiji haraka sana

    Umesema sahihi ndugu
  10. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    Huyu Babu kashafulia mbaya. Mimi nilizima TV.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Watanzania Waliofariki Hijja Wafikia 8

    Huyu shetani ameleta Shida sana. Hivi wakuu nisaidieni pale ndio makao ya shetani?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa kiongozi wa mbio za mwenge kupigia CCM Kampeni?

    Hao Wote ni Makada wamelipwa na ccm
  13. P

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa TADIP Urais 2015 wampa ushindi Lowassa kwa 54.5% dhidi ya Magufuli (40%)

    Magamba mna kazi mwaka huuu
  14. P

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa TADIP Urais 2015 wampa ushindi Lowassa kwa 54.5% dhidi ya Magufuli (40%)

    Hutu ndio uhalisia wa hali ilivyo kwenye field. CCM mtajiuuwa mwaka huu
Back
Top Bottom