Recent content by pdx

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kauli ya Sumaye; "sirudi CCM", nani alimfukuza nani anamkaribisha..?

    Daahh wanasiasa bana, hii ishu ya Sumaye kujimilikisha maeneo makubwa ilishawahi kutika bungeni na ikazua mjadala mkubwa sana kipindi kile yeye ndiyo waziri mkuu, hivyo kwa sababu alikuwa PM ikazimwa tu kisiasa! Hivyo Sumaye atulie tuliii anyolewe vzr lilikuwa jambo la muda tu na muda wenyewe...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Benson Mramba: Nimeamua kuwa Mwanachama Mfu wa CHADEMA

    Teh Teh na Bado Mbona wengi Sana wataiacha hiyo NGO
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Upinzani Bungeni kusoma bajeti Jumatatu, CCM waja na mkakati wao wa mchanga

    Bajeti ni ya upinzani inatekelezwa nchi Gani?!! Ni upuuzi mtupu
  4. P

    JamiiForums Tanzania Swali Pagawishi: Lowassa Angemuunga Mkono 2015 Tungekuwa Tunazungumzia Serikali ya CHADEMA/UKAWA?

    Wapinzani Siku zote huwa washereheshaji tu, Wenye shughuli yaaao ccm
  5. P

    JamiiForums Tanzania Balile yupo live Clouds Tv, tukae mkao wa kula

    Makonda anauwezo mkubwa wa kujenga hoja huwezi ukamlinganisha na mpuuzi balile, hata robo hajai
  6. P

    JamiiForums Tanzania Makonda awaponza Star Tv na Sahara Media mbele ya TEF

    Makonda chapakazi!!! Hilo jukwaa la wahariri nalo lishakuwaa CHADEMA B, SACCOS ya mtei
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye afunguka kuhusu ukimya wa Kinana, Bunge live na polisi

    Kujitambua vipi wew mwanaufipa?!! Hauchelewi kusema Yuko ufipa Siku his.
  8. P

    JamiiForums Tanzania StarTV wasaliti agizo la Chama cha Wandishi wa Habari

    Makonda ni habari bila kuhusisha Jina hilo habari zinadoda.
Back
Top Bottom