Fani yake kuvua nguo stejini nadhani hayo ndio anajua kuna baadhi ya majimbo ukifika balaa jumbo la ALLY KESSY nkasi kaskazini kalambo Urambo na mengineyo balaa tupu Nadhani tumpuuze kwanza mwenyewe Gamba la CCM asiye mjua nani hata ndege wanamjua!
Hana jipya kabixa asipo angalia hata yeye atakosa siasa za kigoma hazitabiriki tena ana wachafua hivyo balaa amuulize kaka yake kaburu kigoma mjini wakimfanyaje;
Chanzo hasa kilikuwa mpira kati ya azam na waarabu wa sudani azam kila alipo kuwa anafungwa wafanyakazi wake wengi walikuwa wana shangilia mno ndipo tulipo uliza kwanini hivyo wanashangilia mno ndipo tulipo ambiwa ukweli halisi asilimia tisini ya wafanyakazi wake hawaipendi timu hiyo kwa maslahi...
Sijalih baadhi kuna overtime kwa mfano azam maji baadhi wanapata walio ajiliwa tuu vibarua hawapati tena hawana likizo wala nini SAA moja ya over time wanalipwa baadhi mia tisa hamsini na wengine 1200 na night allowance mtu ana Massa mia anapewa 5600 kwa mwezi tumeona slip salary zao amini na...
Mimi xio kwamba namuonea huyu mzee eti kwa kufungua studio mpya na yakisasa wala tumefanya uchunguzi makini kabisa anaye bisha aje tumpe tunao kuna wafanyakazi wameanza mwaka 2000 wakati huo kitengo cha maji anakianzisha hakuna mashine hata moja wakati huo ana kiwanda kimoja kipawa! Wamefanya...
Sasa ndugu ww hujatoa jumapili kwani sio siku ya kazi ww unazidisha siku zote halafu kibarua sio zote anaweza fanya kazi kwani kuna siku kazi inakuwa hakuna mashine mbovu na kadharika lazima ujue hivyo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.