Recent content by pCpCp RICH THINKER

  1. pCpCp RICH THINKER

    Tundu Lissu anatakiwa kukatwa Jina lake kutokana na kuwachafua viongozi wenzake na Kuharibu taswira ya chama

    Utakuwa unaharakisha unabii wa Kipanya, ule wa makaburi mawili, na mchimbani yupo hemani aamekalia mgongo, pembeni yake kukiwa na sufuri ya supu inatokota
  2. pCpCp RICH THINKER

    Siku za kujifunza darasani zimekwisha. Sasa tunajifunza kwa kutazama video!

    Katika hili ilipaswa sasa vifurushi vya intaneti kushuka; ndo kikwazo pekee kilichobaki
  3. pCpCp RICH THINKER

    Walimu jiongezeni maarifa mitandaoni kabla ya kuingia Darasani maana wanafunzi wenu wanawaona vilaza mkijongea hapo ubaoni na kushika chaki

    Elimu bora ina athiriwa na ushindani wa mitihani. Wanafunzi wanataka wafaulu ilibwa songe mbele, Mwalimu anataka aonekane amefaulisha, anapaswa kumaliza mada zote kwa wakati. Shule zinataka jina kwa kukuza ufaulu na mnyororo unaendelea. Ni mkanganyiko wa kufamtu: sera ya elimu itungwe na wizara...
  4. pCpCp RICH THINKER

    Falsafa ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa nguzo muhimu katika kujenga Tanzania

    Loh 4R? Ni dhana tu, ‘a paper to bost about!’
  5. pCpCp RICH THINKER

    DOKEZO Wafanyabiashara wa ndizi mbivu Dar huchovya kwenye kemikali ili kuziivisha ndani ya muda mfupi. Afya za watu hatarini

    Najibu Kama Mwl wa Kemia na Bailojia 'Ethene‘ ndo huivisha matunda na imo kwenye mmea kama kichocheo 'phytohormone' ambayo kazi yake ni kuivisha tunda. 'Ethene' ama ‘ethylene’ ni kemikali ogania kundi la hidrokaboni familia ya 'alkini'. Inapatika katika uasili na inaweza kutengenezwa na...
  6. pCpCp RICH THINKER

    AI haina umuhimu wowote hapa Tanzania

    Wajuaji wamekuwa wengi humu
  7. pCpCp RICH THINKER

    Madaktari wanaumia google kusoma vipimo

    •Katika Hospitali moja kubwa ya Rufaa mkoa ‘X’ tulipeleka mgonjwa. Daktari ’alichora'mkeka wa vipimo unaofika 480K (vipimo tu), na mpaka hapo 100k ilikuwa imetembea. • Katika Hospitali ’X’. Dawa kadhaa zilipendekezwa, (huruhusiwi kulala na mgonjwa maeneo yale). Kesho yake, drop la dawa...
  8. pCpCp RICH THINKER

    Mikoa ambayo haiendelei kabisa

    Anaongelea maendeleo ya mikoa; sio watu
  9. pCpCp RICH THINKER

    Lema asema haogopi kukopa. Ameshalipa aliyodaiwa na bunge

    Sio kwamba wewe ndo unaamini hivyo? Mwaka 2010 wakati wa kampeni za uchaguzi , katika kipindi maarufu mwaka huo, ‘Mchakato Jimboni' kiti kama hicho, nilimsikia Lema kwa mara ya kwanza. Alikuwa anawasilisha kwa staili hii hii “Mimi mbunge wenu...." Akiamini tayari ameshakuwa ilihali bado ni mgombea!
  10. pCpCp RICH THINKER

    Wanyakyusa bado wanaweka kabati za vyombo sebuleni na kutandika vitambaa kwenye makochi

    Kwani uliko toka mnafanyaje? Kupamba nyumba ni sanaa, ubunifu unao athiriwa na utamaduni wa jamii husika.
  11. pCpCp RICH THINKER

    Tetesi: Muda wowote kuanzia sasa Samia ataachana na DP World!

    Hapo 'amewini' na itamuongezea nyota katika kukubalika Ila Kuna watu ‘watachuja’ kiushawishi
Back
Top Bottom