Recent content by pazzy

  1. P

    Benki ya CRDB yakanusha taarifa kuwa imesimamisha mikopo kutokana na hali tete ya uchumi

    Ukweli CRDB wamesitisha Mikopo lkn siamini kama nikwasababu ya hali ya Uchumi,Ninachoona ni Kwaajili ya Uhakiki Unaoendelea kwa Watumishi wa Serikali
  2. P

    Kigwangala achana na Dr Mwaka tembelea Mount Meru Hospital

    Mh Waziri changamoto ninyingi Kwenye hospital hii lkn Kubwa kuliko zote nikwanini huduma ya X ray lazima twende Kwenye kituo binafsi cha X ray Center ? au serikali Inahisa hapo ? au nidili ya Watu ? Onyesha Uzalendo wako kwenye Kupunguza Changamoto kwenye taasisi za Uma Ili tuendelee Kuiunga...
  3. P

    Je, Mkurugenzi wa Halmashauli ya Monduli anayoyafanya yanabaraka za Waziri wa TAMISEMI?

    Kwa speed ya serikali hii ni aibu Kushuhudiwa kwa Matendo ya Mkulugenzi huyu?Taasisi zinazohusika na Uchunguzi nendeni Mkaanzie na Mchakato wa zabuni za Ujenzi Unaondelea Makampuni yasiyo na sifa Yanapewa Kazi kila Mwaka yanalipwa na hayamalizi Kazi. Sakata la Kugomea Magali ya serikali...
  4. P

    Madiwani Hanang wamkataa Mkurugenzi na kuwasimamisha watumishi 4

    Hakika Wakurugenzi Wengi wanafanya Kazi kwa Mazoea Wanajifanya hawaoni Speed ya Serikali hii ya Awamu ya 5,Waziri Mkuu Mulika Halmashauli ya Walaya ya Monduli na Mchunguze Mkulugenzi Wake?Tuma Watu wa Usalama Wakutafutie Muhutasali wakikao Cha Kamati ya Fedha Cha Ijumaa Uone Madudu na Upate...
  5. P

    Sakata la usafirishaji tumbili: Waziri Maghembe awasimamisha kazi wakurugenzi wanne Maliasili

    Rais Magufuli Imulike Wizara ya Maliasili na Utalii...Tumia vyombo vyako vya Ulinzi na Usalama Kujua baadhi ya Vigogo wachama na serikali walio na Ubia au hisa kwenye Makampuni ya Utalii hapo Ndio Utaweza Kupambana na Ujangili na Kuzuia Utoroshwaji Wawanyama Pori Hai. Kuwasimamisha kazi tu...
  6. P

    PM na Waziri wa Tamisemi imulikeni kwa jicho la uchunguzi Halmashauli ya Wilaya ya Monduli

    Tena Halmashauli Iko chini ya Ukawa lkn yanayofanyika ni Aibu lkn kwakuwa serikali sasa Ipo kwa Ajili ya Wananchi tunawajibu Wakupaza sauti Ili Kila Mwenye Wajibu Wakututumikia Awajibike Kwa Ujenzi Wa Tanzania Mpya
  7. P

    PM na Waziri wa Tamisemi imulikeni kwa jicho la uchunguzi Halmashauli ya Wilaya ya Monduli

    Baada ya Watumishi Wa Idara ya Ardhi Kusimamishwa Kazi,Limejitokeza hili la Viongozi wa Halmashauli pamoja na baadhi ya Madiwani Kwa Maslahi yao Binafsi Kupinga TEMESA kufanya Matengezo ya Magari na Mitambo Ili Kuhakikisha Watu wao Wanapata Dili hiyo. Ukimya wa Waziri husika wa Tamisemi Umezidi...
  8. P

    TANZIA: Mbunge John Mnyika, afiwa na Baba yake Mzazi, Mazishi kufanyika Alhamis

    Pole sana Kamanda Mnyika,R.I.P mzee wetu
  9. P

    Maalim Seif aiandikia barua ZEC, kujitoa rasmi kwenye uchaguzi wa Machi 20

    Hongera maalim Seif kwakusimamia maamuzi ya wazanzibar ,Wananchi walishaamua October 25 ...aliyefuta matokeo kwenye uchaguzi uliopita atawezaje kutenda haki kwenye Uchaguzi wa marudio ?
  10. P

    Huyu Suleiman Kova ni Makamu wa IGP au ndio msemaji mkuu wa Jeshi?

    Ilishatangazwa wakati IGP Mwema anastaafu kuwa Kova nae alikuwa anastaafu lkn akapewa Mkataba hadi Uchaguzi Mkuu Upite, sio kweli anamiaka 45 wakati wowote kuanzia sasa atakabidhi Ofisi au hujasikia Tangazo la Waziri Wa utumishi?
  11. P

    Rais Magufuli akutana na Maalim Seif Ikulu leo

    Kama Mtanzania Mzalendo kwanza Nianze Kwakukupongeza Kwajinsi Ulivyoanza Kazi Yakuliongoza Taifa Letu... Rais Wangu Natamani Mungu Akupe Busara na Hekima zakumaliza Mgogoro wakisiasa Wa Zanzibar na Mshindi Wa Uchaguzi Huru na Wakidemokrasia Wa October 25 Atangazwe Ili Wazanzibar Kwa Umoja Wao...
  12. P

    Maamuzi na vigezo vilivyotumika kuwabadilisha/kuwafuta kazi trafiki si sahihi

    Mbona bado Traffic Wengi mmezidi Kuendekeza Rushwa bila Aibu... Rais Magufuli toa Maelekezo Kikosi cha Usalama barabarani kisiwe na Askari wakudumu Ili kiendane na speed yako... lkn pia Kuepusha Matabaka ndani ya Jeshi la polisi nakuleta dhana ya Usawa... Ifike wakati tuwaone watoto Wa vigogo...
  13. P

    Kufuru: Kikwete alitumia takribani Milioni 4 kwa siku moja hotelini Serengeti

    JK hakuwa na huruma na Watanzania, Rais magufuli epuka ziara za ndani kufikia Hotelini huo ni mwanya wamatumizi mabaya ya kodi zetu!!
  14. P

    Rais Magufuli achana na CCM, huu ni wakati wa Tanzania

    Rais magufuli Watanzania wana Imani na wewe lkn sio Chama chako, Wengi hatukukuchagua kwasababu Tulijua Mfumo CCM utakukwamisha lkn Umejitahidi Kuanza vizuri... Mh rais akili zakuambiwa changanya nazakwako Usiogope mashinikizo ya Chama chako Wananchi Wako Upande wako Endelea kuwa Jasiri...
  15. P

    John Pombe Magufuli, porojo zimetuchosha, anza kazi tafadhali!

    Rais Magufuli nchi yetu Imeharibiwa na Utawala Wa JK jiepushe na Ushauli wake atakukwamisha... Mimi binafsi nitapima Uzalendo wako na Sera yako yakubana Matumizi ya serikali siku Ukianza ziara za Mikoani Je, Utafikia Hotelini nakuacha Majengo ya serikali yakiwa Magofu?
Back
Top Bottom