Je, Mkurugenzi wa Halmashauli ya Monduli anayoyafanya yanabaraka za Waziri wa TAMISEMI?

pazzy

Senior Member
Feb 5, 2012
194
60
Kwa speed ya serikali hii ni aibu Kushuhudiwa kwa Matendo ya Mkulugenzi huyu?Taasisi zinazohusika na Uchunguzi nendeni Mkaanzie na Mchakato wa zabuni za Ujenzi Unaondelea Makampuni yasiyo na sifa Yanapewa Kazi kila Mwaka yanalipwa na hayamalizi Kazi.

Sakata la Kugomea Magali ya serikali yasitengenezwe Temesa Ili Magali yao Binafsi yatengenezwe kwa gharama za serikali.

Ombeni muhutasali wa Kikao cha mwisho cha Finance muone mambo ya hovyo yalivyofanyika!!!

Niwajibu wakila Mmoja Wetu Kuilinda Halmashauli yake na Tanzania yetu!!!
 
Ukiona hivyo ujuwe kuna mkubwa juu anamlinda, tulia tu usije kuingia kwenye matatizo
 
Kwa speed ya serikali hii ni aibu Kushuhudiwa kwa Matendo ya Mkulugenzi huyu?Taasisi zinazohusika na Uchunguzi nendeni Mkaanzie na Mchakato wa zabuni za Ujenzi Unaondelea Makampuni yasiyo na sifa Yanapewa Kazi kila Mwaka yanalipwa na hayamalizi Kazi.

Sakata la Kugomea Magali ya serikali yasitengenezwe Temesa Ili Magali yao Binafsi yatengenezwe kwa gharama za serikali.

Ombeni muhutasali wa Kikao cha mwisho cha Finance muone mambo ya hovyo yalivyofanyika!!!

Niwajibu wakila Mmoja Wetu Kuilinda Halmashauli yake na Tanzania yetu!!!
Hii halmashauri ipo chini ya "CCM B"!
 
Hivi Magu anateua wakurugenzi wapya lini maana wengine ni Mizigo mikubwa kwa taifa hili.
 
Nawewe ni muajiriwa wa hiyo halimashauli? maana unaweza tumbuliwa wewe kwa uandishi wako akaachwa mkurugenzi.
 
Halmashauri nyingi hamna kitu. Ni rushwa, na zabuni zisizo fata taratibu. Wakurugenzi wengi ni majipu na wana utajiri mkubwa ambao unaashiria wizi tu. Magufuli atoe wote, na kipindi cha nyuma wakurugenzi wengi walipatikana kwa njia ya rushwa yaani kuhonga wakubwa tamisemi
 
Kwa speed ya serikali hii ni aibu Kushuhudiwa kwa Matendo ya Mkulugenzi huyu?Taasisi zinazohusika na Uchunguzi nendeni Mkaanzie na Mchakato wa zabuni za Ujenzi Unaondelea Makampuni yasiyo na sifa Yanapewa Kazi kila Mwaka yanalipwa na hayamalizi Kazi.

Sakata la Kugomea Magali ya serikali yasitengenezwe Temesa Ili Magali yao Binafsi yatengenezwe kwa gharama za serikali.

Ombeni muhutasali wa Kikao cha mwisho cha Finance muone mambo ya hovyo yalivyofanyika!!!

Niwajibu wakila Mmoja Wetu Kuilinda Halmashauli yake na Tanzania yetu!!!

Magali=magari
 
Back
Top Bottom