Recent content by Pazone

  1. Pazone

    Kumekucha sasa Irani yaiomba Marekani Iwaondolee Vikwazo

    Ulivyoandika kwa madoido sasa utazani Marekani ni ndugu yako Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Pazone

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Had Tammy?
  3. Pazone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wanazingua sana, jana nimetupia 20 had sahv sion kitu
  4. Pazone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu naomba mnisaidie namna ya kuwasiliana na Premier bet, niliweka hela jana lakini hadi Leo aijafika.
  5. Pazone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dah! Spurs umesepa na fungu langu la mwaka mpya Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Pazone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tott kawekwa tenaaa jaman kawekwa tenaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Pazone

    Big Match: Man Utd Vs Barca (Live Updates)

    Man u 1 Barc 2 Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Pazone

    NATAFUTA: Machine ya kutengeneza Popcorn

    Alitoa namba ya simu, ebu mpigie Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Pazone

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu naomba kufahamishwa jinsi ya kuwasiliana na premierbet, nikipata namba yao itapendeza. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Pazone

    Je,kupenda/kupendwa ndio kigezo sahihi cha kuingia kwenye mahusiano.?

    Kwanza jiulize nini maana ya mahusiano, je kuna mahusiano bila upendo? ndo utajua. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Pazone

    NATAFUTA: Machine ya kutengeneza Popcorn

    Naitaji za umeme tu mkuu, za gas nasikia zinabei sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Pazone

    NATAFUTA: Machine ya kutengeneza Popcorn

    Asante sn mkuu nakutafuta. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Pazone

    NATAFUTA: Machine ya kutengeneza Popcorn

    Ok mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Pazone

    NATAFUTA: Machine ya kutengeneza Popcorn

    Salama wakuu, Nahitaji mashine ya kutengeneza popcorn, iwe ya umeme kwa matumizi ya kutengeneza popcorn za biashara. Nipo Tunduma yeyote mwenye kujua inakopatikana na bei zake tafadhali naomba anijuze na ikiwezekana ani-PM namba tuweze kuwasiliana. Asanten Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom