Recent content by Pazii

  1. P

    Lukosi aliyeiba mabilioni TBS avamia Bandari

    Chris Lukosi ni mtu wa ajabu sana, kwanza alitoa clip mbili kuishambulia Bandari na Serikali ya awamu ya sita halafu akatoa clip nyingine kusema kuwa kaongea na uongozi wa Bandari na kila kitu kiko sawa akasema serikali yetu Sikivu, Juzi kamtuma mtu mwingine aongee kwenye clip kuishambulia...
  2. P

    The best Football premier League in East Africa

    Kahata anachuwa $ 10000 kwa mwezi nani kasema Sent using Jamii Forums mobile app
  3. P

    The best Football premier League in East Africa

    Hebu izungumze hiyo sentensi ya huyo jamaa. Sema ligi ya uingereza ni bora ulaya Sent using Jamii Forums mobile app
  4. P

    The best Football premier League in East Africa

    Huyo alitakiwa kusema best league. Sio premier league. Nfano unapitaka kusema ulaya lazima useme best league ulaya ni premier league, au la liga, au championait. Huwezi sema best premier league ya ulaya ni la liga. Kiingereza raihis sana ukikielewa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. P

    The best Football premier League in East Africa

    Na hao wengine pia wanaita premier league. Alitakiwa kusema best league. Mtoa mada anajua ligi dara la kwanza dunia kote zinaitwa premier league. So sad Sent using Jamii Forums mobile app
  6. P

    The best Football premier League in East Africa

    Mbona hueleweki. Umeandika upupu tu. Premier league ni jina la league ya uingereza. Ulitakiwa useme best league. Hapo ni sawa useme labda league ya ufaransa is the best premier league in europe, au league ya spain is the best premier league in europe. Umefeli hapo ilibidi nisome mara 5 ndio...
  7. P

    Aptitude test ya Alistair group

    Ndio mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. P

    Natamani sana Ndoa za dini ya Kiislamu " Its the best marriage Ever"

    Acha porojo. Kwani wanaozaa waote hapa duniani wamefunga ndoa? Ndoa na kuzaa ni vitu viwili tofauti Sent using Jamii Forums mobile app
  9. P

    Aptitude test ya Alistair group

    Mozambique post mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. P

    Aptitude test ya Alistair group

    Hahah sijui mkuu ila kwenye cv nimeonyesha kama mimi ni mtz Sent using Jamii Forums mobile app
  11. P

    Natamani sana Ndoa za dini ya Kiislamu " Its the best marriage Ever"

    Mkuu ukae ukijua kwamba ndoa au kuoana ni utamaduni wa waislam. Wanamfuata kiongizi wao mtume. Wakristo wanaoana wanamfuata nani wakat yesu hakuoa? Ndio maana wakristo wanabuni buni tu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. P

    Aptitude test ya Alistair group

    Ilikuaje baadae. Ulipata kazi? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. P

    Aptitude test ya Alistair group

    Post financial specialist mkuu mozambique huko kwenye miradi ya gesi. Hapa maisha yashakuwa sio inabidi kujiongeza. Kila kitu kishakuwa kigumu hapa. Dah Sent using Jamii Forums mobile app
  14. P

    Aptitude test ya Alistair group

    Hahaha noma sana Sent using Jamii Forums mobile app
  15. P

    Aptitude test ya Alistair group

    Ulikuwa na mtu pepembeni au ulikuwa mwenyewe? Calculator na computer ya pili vinahitajika? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom