Recent content by payton

  1. P

    JamiiForums Tanzania Toeni Hela zenu kwenye Mabenki na mpesa hifadhini hela zenu wenyewe, anguko la uchumi limeingia

    Hamna uchumi unaoanguka tusidanganyane yaan dunia ya sasa utoe hela bank uwwke nyumban au upeleke wapi ili iweje?
  2. P

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dotto Biteko atemwa rasmi na Rais Samia

    Tulia ackson
  3. P

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video nyingine ikionyesha Mochwari ya hospitali ya Mount Meru - Arusha iliyojaa miili yavuja

    Duuh hii ni hatari hizi video zinatisha,maisha yangu yote ya miaka 3
  4. P

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nilichokishuhudia kwenye maandamano: Serikali ya Tanzania imeshindwa vita

    Andiko zuri sana,ila alietoa amri ya kutokufanya mvt alisaidia maana ile petrol ya tunduma ingesogea mpaka Iringa hali ingekuwa mbaya ya Arushq ingeenda moshi mpaka Tanga mwanza ingeenda shinyanga Tabora hata vyombo vya usalama vingeshindwa
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ni bank gani tanzania mtu akifa basi pesa zake zitabakia kwenye account kama zilivyo?

    Watu wengi huwa wakiona tu card ya ndugu yao wanahis bank kuna hela kumbe sivyo muda mwingine,ndio sababu muda mwingine kabla hujajihangaisha jaribu kujua marehemu aliacha kias gani
  6. P

    JamiiForums Tanzania Njoo na hoja nani unaona anamzidi Rais Samia

    Samia is a good president isipokuwa anatakiwa kuwa mkali kipindi hiki watumishi wa Uma wamekuwa wazembe sana
  7. P

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No reform no Election
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kanisa la KKKT Makete lamzawadia Rais Samia Tuzo ya Amani na Umoja

    No reform no Election
  9. P

    JamiiForums Tanzania Jambo gani la ajabu ulishuhudia likifanywa na mtu kwa siri akidhani haonekani?

    wakati tuko wadogo mimi na dada yangu tulikuwa tunapenda kukaa dirishani tunaangalia wapita njia maana nyumba yetu haikuwa na uzio,sasa kuna kaka akawa anapita anajamba haa tulicheka sana hiyo siku sasa tukawa kila tukionana naye hatuna mbavu
  10. P

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco rudisheni umeme Basi Moshi msaranga tuangalie mechi ya Taifa stars
  11. P

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania wanatuchukulia sisi abiria wao kama takataka zisizo na thamani

    Hapa Leo wamehairisha ndege Toka saa Tano asbh mpaka saa Tisa usiku hili shirika halina muda litakuwa limekufa
  12. P

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Dola zimeadimika, bei ya black market ni Tzs 3000-3200 kwa noti za $.50 & 100

    Ili bank iweze kuuza dollar ni lazima ipate mtu anaeuza dollar inunue kwake ndio iweze kuuza so haijalishi hiyo hela ni hard cash or not so kinachotokea saiv ni kwamba dollar zinakuja kwa kiasi kidogo na wakati importation ni kubwa.
Back
Top Bottom