Recent content by Payrol

  1. P

    Israeli yasema itawafuatilia wote watakaofuata baada ya Khamenei, yatishia taasisi inayochagua kiongozi

    Lengo lao ni kupata Kiongozi wa njia ya kura sio kuchaguana Watu wachache
  2. P

    Trump anaishukuru Iran kwa kutoa notisi ya mapema ya Marekani, Nina furaha kuripoti HAKUNA Wamarekani waliojeruhiwa

    Kwamba Trump anaishukuru Irani kwa kutoa taarifa mapema?. Kwa maana hiyo Irani amefanya tu kutuadaa ionekane naye anaweza kujibu mapigo
  3. P

    Kwa shambulizi la jana la iran ndani ya ardhi ya israel je wanautofauti wowote na Hamas?

    Wewe ndo umeonyesha hauna akili, issue sio Iran kupiga issue ni Iran anapiga kama mlevi. Hana target yoyote anayolenga
  4. P

    Mpaka sasa wataalam tisa wa nyuklia Iran wameuawa, watamaliwa wote

    Akili yako ndo inakutuma hivyo? Ingekuwa hivyo unavyofikiria kulikuwa na haja gani ya kuwalenga hayo wanasayansi. Unafikiri kila mmoja anakuwa na formula ya kutengeneza Nyuklia?. Hilo ni pigo ambalo litawachukuwa miaka mingi sana Irani kuja kurudi kutengeneza tena Nyuklia.
  5. P

    Israel watajutia milele kwa walichokifanya huko Iran

    Vipi kazi wameimaliza au bado?
  6. P

    Waziri wa Ulinzi Israel Katz amemuonya kiongozi wa Iran, Ali Khamenei, kwamba iwapo makombora yataendelea kurushwa kwa Israel, Tehran itaungua.

    Irani itaanza kuomba msaada kwa mashirika ya haki za binadamu. Sema Muyahudi ni mstarabu sana. Hali aliyonayo Irani saizi angeamua kupiga kama anavyopiga Irani tungesikia vilio vya Watu sana
  7. P

    Mpaka sasa wataalam tisa wa nyuklia Iran wameuawa, watamaliwa wote

    Kiongozi kama anajali nchi yake Bora tu aombe mazungumzo maana atamalizwa itafika hatua atashindwa hata kurusha kombola moja.
  8. P

    Waisrael waliopiga picha makombora ya Iran yakitua waanza kusakwa!!

    Source, wewe mwenyewe[emoji3][emoji3]
  9. P

    Kuna hati hati ya U.S na U.K kuingia mzigoni kumuunga mkono Israel

    Iran anambwembwe sana, Yaani mwezako anapiga sehemu nyeti za kukupunguza Nguvu wewe unarusha tu makombola kama hauna intelligensia. Alafu unatishia kupiga base za USA.
  10. P

    Israel yaanza kuitandika Iran tena muda huu

    Rudia tena kusoma ulichoandika bila kupanic.
  11. P

    Na Ukristo wangu huu ninaichukia the so called Israel hadi natetemeka

    Kwa hili tu ungekua na akili usingeandika hii post, kwa uelewa wako afu unakuja kutuaminisha. Jibu maswali uliyoulizwa wanaisrael wamepotelea wapi?
  12. P

    Jeshi la Israel larudi nyuma tena Gaza. Ni mbinu za kivita au ni kuzidiwa na mzigo?

    Alafu endeleeni kudanganyana kuwa wamerudi nyuma
  13. P

    Jeshi la Israel larudi nyuma tena Gaza. Ni mbinu za kivita au ni kuzidiwa na mzigo?

    7 bodies of hostages rescued, 10km of tunnels destroyed, 100+ terrorists eliminated. This is a summary of our recent operational activity in Jabaliya that led to the retrieval of 7 hostages' bodies from a terrorist tunnel for burial in Israel. Our forces also eliminated hundreds of terrorists...
  14. P

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Ubingwa wa nne back to back
  15. P

    Irani na Israeli wana Undugu usioyumba, Makombora 300 ya Irani naona kama ni Propaganda

    Kwa hiyo hao WanaIsrael wa kipindi kile walienda wapi kama waliopo asili Yao sio Ile?
Back
Top Bottom