Kama una passport ya Tanzania na Visa ya Schengen utagongewa entry Visa ya Turkey pale Instanbul kama ndio point of entry. Nilifanya hivyo miaka kadhaa ya nyuma. Kujiridhisha, nenda kwenye ubalozi wao hapa Tanzania utapata maelezo ya ziada.
Sio kweli, tafiti ikishafanyika huwa inafanyiwa evaluation, kama niya hovyo kama hii ya hawa wasanii inarudiwa. Huwezi kurudia tafiti ya kitu kilekile, ni matumizi mabaya ya rasilimali
Mkuu avumaye baharini papa kumbe wapo wengi. Huu utafiti ni uchafu na fedheha. Hii sample na sampling method yao ni dhaifu sana. Ukisample kaya (households), kunakuwa na tatizo la clustering tayari, lazima cluster effect iingine hapo. Sasa unafanyanye random sampling ya participant ktk...
Huwezi kwenda na utafiti wa hivi mbele ya vyombo vya habari, ni aibu kubwa hii. Eti je Ukawa ni chama cha siasa? Hivi kwa nini hakuuliza, Je unaifahamu ukawa? Nani mgombea wa Ukawa...Afterall Ukawa imeingiaje humu kwny utafiti huu
Mtafiti mahiri hawezi kuchomoka na matokeo yaliyo tatanishi kwny vyombo vya habari bila kijiridhisha kwa nini matokeo hayaakisi ukweli. Ukitazama uchaguzi wa mwaka huu, wazungu huwa wanasema it is too close to call, yani kuna ushindani sana na ni vigumu kujua mshindi ni nani. Sasa hawa Twaweza...
Mkuu tunazungumzia efficiency (ufanisi), kwa miaka yote waliyokaa madarakani tulitakiwa tuwe na maendeleo makubwa sana, hivyo acha kungangania vitu vidogo vidogo na kuona kazi imefanyika kumbe sivyo.
Hahahaha, dhehebu la kilutheri halikuwa kwenye headlines, mwanzoni mlikuja na hoja ya ukristo, sasa mmekuta na mgombea wenu ni mkristo mkakosa hoja mkaona muutazame ulutheri wake. Hii imebumaaaa.....
Lowassa ni mlutheri, na nchi hii haijawahi kuwa na raisi mlutheri, fact! Samia ni mwanamke, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.