How to get Turkish visa when you have schengen visa

kimwelage

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
55
Reaction score
21
I am planning to travel to Switzerland and then after to Turkey,so please whoever have an info on how to go about
 
Kama una passport ya Tanzania na Visa ya Schengen utagongewa entry Visa ya Turkey pale Instanbul kama ndio point of entry. Nilifanya hivyo miaka kadhaa ya nyuma. Kujiridhisha, nenda kwenye ubalozi wao hapa Tanzania utapata maelezo ya ziada.
 
Tourist visa za Turkey ni easy kupata.. tena una apply online.. ukipata wanakutumia kwa email.. hamna complications za kwenda ubalozini.

Unless unaenda kwa shughuli nyingine..
 
Kama una passport ya Tanzania na Visa ya Schengen utagongewa entry Visa ya Turkey pale Instanbul kama ndio point of entry. Nilifanya hivyo miaka kadhaa ya nyuma. Kujiridhisha, nenda kwenye ubalozi wao hapa Tanzania utapata maelezo ya ziada.

Pamoja na hayo sharti la nyongeza ni kuwa lazima uwe unaingia Turkey kwa ndege ya Turkish Airlines. Vinginevyo ikiwa ndege tofuati unakua hujatimiza masharti.
 
Back
Top Bottom