Nchi haiwezi kuendesha Kwa matamko ya mtu mmoja. Mwenye kutamka mtumishi kusimamishiwa mshahara ni Mkuu wa nchi na si kiranja wake.
Simbachawene unapaswa kutuomba radhi.
Ukitaka wote wafaulu hata kama hawakufaulu?
Watoto hawasomi Kwa sababu hawajajitambua hivyo ni LAZIMA wafeli.
Mkoa wa Dar Es Salaam ni LAZIMA waendelee kufeli Kwa sababu ya changanyikeni na ulimbukeni wa simu.
Bandiko bora Sana la mwaka 2023. Pamoja na kuwa Rais Samia Suluhu Hassan aliwaruhusu wateule wake Kula kulingana na urefu wa kamba yao na kwamba waangalie wasivimbiwe, wengi wamevimbiwa mno wakiwemo Mwigilu Lameck Nchemba (Esther Luxury) bila kumsahau Jerry Slaa.
Jerry anatuambia kuwa bado...
Katibu Mkuu Ajaye anatakiwa awe mtu mwema atakayemsaidia Mkiti wa CCM kutekeleza ilani ya CCM ya 2020/2025.
Mtu anaeungnisha watu wa makundi yote Kwa kueneza sera nzuri ya chama na kusema mazuri ambayo yamefanywa na serikali ya CCM.
Asiwe mwizi la fisadi.
Nilikuwa nimekaa nikasimama baada ya kusoma hoja Yako ili niweze kuiunga mkono Kwa 100%.
Eti madiwani waachiwe wapange miji haijalisha wataharibu au vinginevyo.
Slaa Jerry n bomu linalosubiri kulipuka, ni suala muda tu.
Ukonga Moshi bar Kuna makazi ya watu chungu mzima, Shule (Moshi fountain) na hapohapo Kuna kituo Cha mafuta ya mitambo.
Slaa unatafuta popularity ya 2024/2025 ila kumbuka ubovu uliopindukia wa Barbara ya banana kitunda, njia panda Shule kivule Hadi njia panda ya Msongola unakusubiri.
Jimbo la...
Ukimya nao ni hekima na busara. Haikuwa na ulazima wa kureact Kwa jazba ikiwa unafahamu unachozungumza Kwa dhati kabisa kinatoka ndani ya moyo wako na sio hapa jukwaani tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.